Zakzok : Kikosi cha boti za baharini ili kukuza mashindano ya ulimwengu kwa mpira wa mikono
- 2021-01-09 11:55:50
Hussien Zakzok, Meneja wa uenezaji wa mashindano ya ulimwengu kwa mpira wa mikono yanayoamuliwa kuzindua mnamo siku chache kutoka kipindi cha 13 mwezi wa Januari hadi 31 kutoka mwezi huu huu nchini Misri alisisitiza kwamba Kikosi cha boti za baharini katika mto Nile kitazinduliwa ili kukuza mashindano katika njia mpya kwa kukuza baada ya magari ya kukuza yalipokelewa vizuri na umati wa watu.
Na Meneja wa uenezaji aliashiria kwamba kukuza kwingi kwa mashindano kunasambamba na hatua ili kupunguza upanuzi wa virusi vipya vya Corona , umuhimu wa kuwepo kwa nafasi baina ya watu na kuvaa barakoa kwa umati wa watu na hivyo ili kutekeleza kukuza pamoja na kuhifadhi usalama wa umati wa watu na kupunguza uenezi wa virusi vipya vya korona kwani mashindano yanafanyika wakati wa hali ngumu.
Na Zakzok alihitimisha kauli zake kwamba wimbo unaohusu mashindano na utakaoimbwa na msanii Tamer Hosny uko tayari kwa kutangazwa.
Comments