Waziri wa michezo afanya ziara ya kukagua kwa mji wa kimchezo mjini mkuu mwa kiutawala
- 2021-01-09 12:07:13
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo anaendelea katika ziara zake za kukagua kwa kumbi zilizofunikiwa zinazokaribisha kwa matukio ya michuano ya dunia kwa mpira wa mikono ,inayopangawa kuifanyawa mnamo kipindi cha siku 13 hadi siku 31 mwezi huu wa Januari, ambapo
mnamo asubuhi ya Alhamisi alifanya ziara kwa makao makuu ya mji wa kimchezo mjini mkuu mpya mwa kiutawala .
Mji wa kimchezo mjini mkuu mpya mwa kiutawala unajengwa kwa ekari 93 ,unajumuisha mkusanyiko wa michezo ,eneo la michezo ya pamoja ,nyanja za kimchezo tofauti ,watoto ,nyanja za kimchezo ,mkusanyiko wa mabwawa ya kuogolea ,nyanja za Tenisi ,nyanja za Boga ،jengo la kiutamaduni na kitekonolji ,jengo la kijamii ,eneo la huduma na ukumbi uliofunikiwa ambao umeshamaliza kutoka kuuanzisha .
Sobhy alieleza kuwa mji wa kimchezo unazingatiwa moja ya maeneo makubwa ya kimchezo nchini Misri ambao umeshaanzisha kufutana na vipimo vya kimataifa na unawakilisha umbo nguvu kwa majengo ya kimchezo kama sifa moja ya sifa za Misri, pia huenea katika pande zote za Jamhuri ,akiashiria kuwa mji unazingatiwa moja ya miradi ya kitaifa na kimchezo ,na unahusiana na Miundo Mbinu ya kimchezo mjini mpya mwa kiutawala na moja ya mafanikio ambayo nchi ya kimisri inayashuhudia katika enzi la Rais Abd El Fatah El-Sisi, Rais wa Jamhuri .
Sobhy alisifu ukubwa wa mafanikio yaliyohakiksha katika kiwango cha Miundo Mbinu kiasi kwamba imeshamaliza kutoka ukumbi uliofunikiwa ndani ya mji na kuuandaa ili kukaribisha mashindano ya michuano ya Dunia kwa mpira wa mikono mwaka wa 2021 ,na michuano ya kimchezo na kimataifa .
Ukumbi wa mji mkuu wa kiutawala unajumuisha watazamaji 7500 ,umeshaanzisha mwaka wa 2020 miongoni mwa miradi ya mji wa kimchezo mjini mkuu mwa kiutawala ,ukumbi unakaribisha mechi za makundi mwaili ya pili " Uhaspania , Tunisia ,Brazil,Polenda " na kundi la sita " Ureno ,Algeria ,Icalenda na Morocco ".
Na katika muktadha huo huo, Sobhy alifanya mkutano na wakurgunzi wawili wa kumbi nne ambayo matukio ya michuano yatafanyawa ili kusimamisha juu ya maandalizi ya mwisho ,kabla ya uzinduzi wa matukio .
Inaashiriwa kuwa michuano ya kombe la Dunia kwa mpira wa mikono "Misri 2021" ni michuano mikubwa zaidi duniani na inayofanyawa tangu kuenea kwa Virusi vya Corona mwaka uliopita .
Timu za taifa 32 kwa mara ya kwanza zinashiriki katika kombe la dunia la mpira wa mikono ,na mashindano ya michuano yanafanyawa kumbi 4 nazo ni: ukumbi wa Uwanja wa Kairo ,ukumbi wa mji mkuu wa kiutawala ,ukumbi wa Borg Alarab ,na ukumbi wa Dokta Hassan Mustafa mjini Oktoba 6 .
Comments