Kuelekea Misri
2021: Timu ya taifa ya Denmark ilishinda taji la Mashindano ya Dunia ya Wanaume
ya Mpira wa Mikono 2019
Ushiriki wa awali :
Timu ya taifa ya Denmark imeshiriki mara 23 kwenye Mashindano ya Dunia, Lakini
imepata nafasi ya kwanza tu mnamo 2019.
Kocha : Nikolaj
Jacobsen
Orodha ya wachezaji
No. |
Majina ya wachezaji |
28 |
Lasse B. Andersson |
9999 |
René Antonsen |
5 |
Magnus Bramming |
999 |
Nikolaj Læsø Christensen |
0 |
Sebastian Leth Frandsen |
33 |
Mathias Gidsel |
16 |
Jannick Green |
24 |
Mikkel Hansen |
19 |
René Toft Hansen |
23 |
Henrik Toft Hansen |
26 |
Johan P. Hansen |
32 |
Jacob T. Holm |
1 |
Niklas Landin Jacobsen |
4 |
Magnus Landin Jacobsen |
7 |
Emil M. Jakobsen |
888 |
Benjamin Jakobsen |
15 |
Magnus Saugstrup Jensen |
21 |
Henrik Møllgaard Jensen |
34 |
Simon Hald Jensen |
3 |
Niclas W. Kirkeløkke |
22 |
Mads Mensah Larsen |
37 |
Martin Larsen |
|
Patrick Wiesmach Larsen |
|
Buster Juul Lassen |
11 |
Rasmus Lauge Schmidt |
18 |
Hans Ottar Lindberg |
10 |
Nikolaj Skovgaard Markussen |
20 |
Kevin Møller |
64 |
Lasse K. Møller |
12 |
Emil Nielsen |
27 |
Michael Damgaard Nielsen |
31 |
Nikolaj Øris Nielsen |
25 |
Morten Toft Olsen |
17 |
Lasse J. Svan |
14 |
Anders Zachariassen |
Lakabu : Baruti
Mnamo Januari
27, 2019, watu wa Denmark walikuwa
wanajiandaa, wakati walitawaza taji lao la kwanza kwenye Mashindano ya Dunia,
baada ya kushinda mechi ya mwisho dhidi ya Timu ya taifa ya Norway 31-22 kwenye
mashindano ya mwisho yaliyofanyika nchini Ujerumani na Denmark, na hakuna shaka
kuwa kutawazwa kati ya mashabiki wako kuna ladha maalaum, lililofanya usiku huo
uwe tofauti kwa washiriki wote wa timu hiyo.
Na timu ya taifa ya
Denmark itashiriki kwenye mashindano ya Misri ya 2021,nayo ni yenye lakabu, na
tangu toleo la kwanza lilipozinduliwa mnamo 1938, Denmark haikupoteza ila mara
tatu tu, mnamo 1990, 1997 na 2001.
Timu ya taifa ya
Denmark inajumuisha kati ya safu yake kundi la wachezaji mashuhuri, na mbele
yao kipa Nicholas Landen, na mchezaji bora zaidi katika toleo la awali Michael
Hansen, chini ya uongozi wa kocha mheshimiwa Nicola Jacobsen..
Comments