Timu ya taifa ya Argentina

 

Kuelekea Misri 2021: Mabingwa wa mashindano ya mataifa ya Marekani ya Kusini na Kati 2020

 

Ushiriki wa  awali : ushiriki 12, na bora zaidi ni wakati  timu ya taifa ya Argentina imepata nafasi ya 12 mnamo 2011 na 2015.

 

Kocha : Manolo Cadenas

 

Orodha ya wachezaji

 

No .

Majina ya wachezaji

23

Lucas Aizen

87

Juan Manuel Bar

27

Joaquin Barcelo Garcia

9

Santiago Baronetto

26

Mauricio Basualdo

77

Nicolas Bonanno

14

Mariano Andres Canepa

71

Santiago Alejo Canepa

15

Gonzalo Matias Carou

22

Fabrizio Casanova

29

Sean Corning

17

Manuel Crivelli

2

Federico Gaston Fernandez

13

Juan Pablo Fernandez

18

Guillermo Jose Fischer

12

Agustin Forlino Couly

35

Franco Daniel Gavidia

37

Francisco Andres Lombardi

36

Ignacio Tomas Lopez Perez

40

Leonel Carlos Sergio Maciel

20

Ramiro Martinez

19

Pedro Martinez Cami

11

Lucas Dario Moscariello

31

Gaston Alberto Mourino

21

James Lewis Parker

7

Ignacio Pizarro

3

Federico Pizarro

1

Matias Carlos Schulz

8

Pablo Ariel Simonet

6

Diego Esteban Simonet

33

Sebastian Alejandro Simonet

5

Pablo Vainstein

10

Federico Matias Vieyra

16

Federico Wermbter

 

Lakabu : Wachezaji wa Tango

 

Kabla ya ushiriki wa timu ya taifa ya Arjentina katika Kombe la dunia la Misri 2021, ilishinda kombe lake la nane la mashindano ya Pan Amerika (Mashindano ya mataifa ya Marekani ya Kusini na Kati) 2020, Kocha wa zamani wa  timu  Eduardo Gallardo amekuwa sababu kuu ya mafanikio hayo tangu mwaka 2010, ambapo aliunda timu  iliyocheza mashindano mazuri mnamo 2011 huko Uswidi,  Ambapo ilishinda mwenyeji katika raundi kuu.

 

Argentina ikawa sehemu ya Mashindano ya dunia, na itashiriki katika toleo la Misri 2021 kwa mara ya 13 mfululizo.na Argentin haijapoteza  tangu kuanza kwake katika Kombe la Dunia la 1997 huko Japan, na kwa wakati huo ilishika nafasi ya 22, na Inazingatiwa nafasi bora ambayo wachezaji wa Tango wamefanikiwa  ni ya 12.  Hiyo ilikuwa mara mbili kwenye Kombe la Dunia huko Uswidi 2011 na Kombe la Dunia huko Qatar 2015.

Comments