Timu ya taifa ya Austria

 

Kuelekea Misri 2021:  kushika nafasi ya nane katika mashindano ya mataifa ya Ulaya 2020 , na timu hii iliyojumishwa katika uamuzi wa kustahilisha wenye nafasi za juu , miongoni mwa timu zisiofikisha mashindano ya Mpira wa Mikono Duniani kwa Wanaume Misri 2021, baada ya kufuta fainali za mwisho za Ulaya .

 

 Ushiriki wa awali :- Austria ilishiriki mara 6 kabla , na matokeo bora zaidi kwake yalikuwa  nafasi ya pili mnamo 1938 .

 

 Kocha :-  Aleš Pajovič

 

Orodha ya wachezaji

 

No .

Majina ya wachezaji

33

Goran Aleksic

1

Thomas Bauer

7

Janko Bozovic

62

Martin breg

45

Eric Dambock

24

Daniel Dicker

40

Thomas Eichberger

20

Sebastian Frimmel

26

Lukas Herburger

4

Maximilian Hermann

57

Balthasar Huber

27

Thomas Hurich

72

Lukas Hutecek

39

Ralf Patrick Hausle

60

Jakob Jochmann

19

Antonio Juric

16

Florian Kaiper

99

Marko Katic

25

Marin Martinovic

94

Christoph Neuhold

93

David Nigg

22

Dean Pomorisac

31

Julian Pratschner

44

Julian Ranftl

41

Mathias Rath

92

Raul Santos

6

Dominik Schmid

29

Lukas Johannes Schweighofer

10

Sebastian Spendier

77

Nikola Stevanovic

55

Tobias Wagner

8

Robert Weber

13

Richard Woss

28

Gerald Zeiner

30

Boris Zivkovic

 

 

 Austria  ilishuhudia uzinduzi wa toleo la kwanza la mashindano ya ulimwengu ya mpira wa mikono ambapo ilishiriki katika michuano ya kwanza  iliyofanywa mnamo 1938 huko Ujerumani kwa ushiriki wa timu zaitaifa 4  , wakati huo Austria ilishika nafasi ya pili .

 

Ingawa ushiriki wa Austria katika mashindano ya kwanza ila ushiriki wake mara kwa mara kuwa katika kipindi kinachotenganishwa  ambapo ilishiriki katika mara ya pili mnamo1958 na ilishika nafasi ya 11 basi ilichukua miaka 35 mpaka ilionekana kwa mara ya tatu mnamo  1993 na michuano hiyo ilimalizika kwa kufikia kwake nafasi ya 14,  kisha ilipoteza  miaka kumi na nane mengine kabla ya kuonekana kwa mara ya nne katika kombe la dunia huko Uswidi 2011 na ilishika nafasi ya 18 na  ushiriki wa tano ulikuwa katika kombe la dunia huko Qatar 2015 na ilifikia nafasi ya 13 

Vilevile , ilisajili kuwepo kwake katika kombe la dunia lilitanguliwa mnamo  2019  kwa mara ya sita na ilifikia nafasi ya 19 .

 Na ushiriki wa Austria kwenye kombe la dunia huko Misri  2021 utakuwa mara ya saba katika historia yake .

 

Nyota wa timu ya kitaifa ya Austria ni  Nikola Stevanovic aliyekuwa  mchezaji mdogo zaidi katika michuano ya dunia 2015 na akiwa na umri wa miaka 18 wakati huo.

Comments