Timu ya taifa ya Iceland

 

Kuelekea Misri 2021: kushika nafasi ya nane katika michuano ya mataifa ya Ulaya (2020) ,pia timu hii iliyojumishwa katika uamuzi wa kustahilisha wenye nafasi za juu , miongoni mwa timu zisiofikisha mashindano ya Mpira wa Mikono Duniani kwa Wanaume Misri 2021, baada ya kufuta fainali za mwisho za Ulaya .

Ushirikiano wa zamani: Wachezaji wa timu ya taifa ya  Iceland walishirkisha katika mashindano 20 lakini yaliyokuwa mazuri zaidi ni ya 1997 ambapo walipata nafasi ya tano.

 

Kocha : Guðmundur Guðmundsson

 

Orodha ya wachezaji

 

No.

Majina ya wachezaji

12

Daniel Freyr Andresson

21

Arnar Freyr Arnarsson

20

Agust Eli Bjorgvinsson

31

Teitur Orn Einarsson

8

Bjarki Mar Elisson

23

Oddur Gretarsson

17

Arnor por Gunnarsson

22

Sigvaldi Bjorn Gudjonsson

30

Gretar Ari Guojonsson

13

Olafur Andres Guomundsson

11

Ymir Orn Gislason

1

Bjorgvin Pall Gustavsson

16

Viktor Gisli Hallgrimsson

38

Gudmundur Holmar Helgason

19

Daniel por Ingason

35

Atli Aevar Ingolfsson

5

Sveinn Johannsson

9

Elvar Orn Jonsson

27

Gunnar Steinn Jonsson

18

Gisli Porgeir Kristjansson

3

Kari Kristjan Kristjansson

26

Kristjan Orn Kristjansson

7

Viggo Kristjansson

14

Omar Ingi Magnusson

24

Magnus Oli Magnusson

15

Alexander Petersson

4

Aron Palmarsson

2

Odinn Por Rikhardsson

33

Janus Dadi Smarason

28

Hakon Dadi Styrmisson

29

Ellidi Snaer Vidarsson

36

Elvar Asgeirsson

32

Gudmundur Arni Olafsson

37

Oskar Olafsson

34

Orri Freyr Porkelsson


Lakabu: Wana wetu.

 

 Nafasi nzuri zaidi iliyohakikishwa na  timuya taifa ya Iceland wakati wa michuano ya dunia ni nafasi ya tano katika toleo la 1997, ambapo ilianza  ushiriki wake wa kwanza mnamo 1958 . na ilishika nafasi ya kumi na katika mashindano ya mwisho mwaka 2019.timu kuu ya Iceland ilimalizika mashindano ikishika nafasi ya 11.

 

Tangu ushiriki wake wa kwanza mwaka 1958, imepoteza katika mashindano ya dunia kwa miaka minne 1967,1982,1999 na 2009.

 

 Mafanikio mazuri zaidi yaliokuwa ni kupata medali ya kifedha ya Olympiki 2008 huko "Beijing"  ,miongoni mwa mafanikio yale .serikali iliwapa watu wa Iceland likizo kutoka kazi ,Kama Alama ya Furaha.

Pia baadhi ya nyota ambao walishirkia katika mashindano ya kupata medali ile wanacheza hadi Sasa kama Mfungaji "Goodison valer sigurdsson" na golikipa "Gorfin Pol Gostafson" wao wawili waliokuwa miongoni mwa wachezaji walioshinda medali ya shaba katika Euro 2010 nchini Viena.

 

 Timu kuu ya Iceland ilirudisha Kocha "Guomundur Guomundsson" mwenye ushindi  wa medali ya kifedha 2008, baada ya kuongoza Timu kuu ya Denimark  ili kufuzu medali ya dhahabu mnamo mwaka  2016. na Iceland yahangaika kupitia Ushiriki wake katika mashindano ya dunia nchini Misri ili kushika nafasi nzuri zaidi kuliko nafasi ya tano iliyoihakikisha mnamo 1997.

Comments