Rais Al-Sisi anaangalia maandalizi ya hivi karibuni ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika
- 2019-06-10 21:28:34
Leo,
Mheshimiwa Rais Abdel Fattah al-Sisi alikutana na Dokta. Mustafa Madbouli
Waziri Mkuu, Bw. Sherif Ismail, Msaidizi wa Rais wa Jamhuri kwa miradi ya
Kitaifa na kimikakati , Jenerali Mohamed Zaki, Waziri wa Ulinzi na Uzalishaji
wa Jeshi, Mheshimiwa Mahmoud Tawfiq, Waziri wa Mambo ya Ndani, Dokta Ashraf
Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, na
Mheshimiwa Abbas Kamel Rais wa upelelezi mkuu.
Balozi
Bassam Radhi, msemaji wa Rais wa Jamhuri, alisema kuwa mkutano huo ulihusisha
ufuatiliaji wa maandalizi ya mwisho ya utaratibu wa michuano ya Mataifa ya
kiafrika kwa Soka, itayofanyika na
Kuanzia huko Misri 21 Juni huu .
Mheshimiwa
Rais anaeleza kwa kutoa rasilimali zote
zinazohitajika ili kufanikiwa kwa michuano ya Mataifa ya kiafrika katika ngazi
zote za shirika, utawala na vifaa,
Kama tukio
kubwa la kimichezo kwenye bara la kiafrika na kupata ufuatiliaji mkubwa wa kimataifa,Na
kuzingatia michuano hii itakuwa kama sherehe ya kimichezo na wenzetu waafrika
juu ya ardhi ya Misri, hasa kwa sababu ya wakati wa urais wa Misri wa Umoja wa
kiafrika, .
Pia
Mheshimiwa Rais alieleza kwa Kuendeleza uratibu kati ya mamlaka husika zote nchini
juu ya taratibu husika kabla ya kuanza michuano ili kuhakikisha kutolewa
kwao kwa picha nzuri, pamoja na usimamizi mzuri wa masuala ya kiuchumi na
mapato yake ya kiutalii, kimasoko na
kihabari.
Msemaji
rasmi alifafanua kwamba mkutano ulishuhudia
masuala mbalimbali ya maandalizi yanayoendelea katika ngazi ya Kamati Kuu juu
ya kusimamia utaratibu wa Kombe la Mataifa ya kiafrika kwa Soka , ikiwa ni
pamoja vifaa vya usalama, na kutosheleza huduma muhimu za kiafya, pamoja na
harakati ya raia, washiriki na vifaa ya kiufundi ya michezo mipango ya kutoa
michuano kupitia vyombo vya habari na
Runinga , pamoja na mambo yalikuwa maendeleo ya hoteli na utalii huduma,
kuboresha ufanisi wa miundombinu ya
michezo kuwa kufunikwa na michuano toka viwanja na viwanja vidogo vya mafunzo na kuzungukwa na barabara kuu na
njia za umma katika miji na mikoa ambapo mechi zitafanyikwa , na kuainisha kazi na shughuli za wizara na wakala wa kiserikali za kuandaa michuano hii . Pia ilionyeshwa
mfumo wa shughuli za maendeleo ili kutoa
kadi za mashabiki na kununua tiketi , na
maandalizi ya sherehe mbili za ufunguzi na mwisho.
Comments