Mamlaka ya Vyombo vya Habari vya kitaifa: Kuimarisha « utangazaji wa kiardhi » kunukulisha mechi za michuano ya mataifa ya kiafrika kwa ubora wa juu
- 2019-06-11 10:42:16
Mamlaka ya kitaifa kwa Vyombo vya habari, imefanya juhudi
kubwa za kuimarisha utangazaji wa kiardhi, hivyo nia ya haki ya mwananchi
mmisri kwa kutazama matukio na michuano ya kimichezo iliyofanyika nchini Misri, na kwa hiyo
iliimarisha utangazaji wa kiardhi ili kufunika majimbo yote kwa picha nzuri
zaidi.
Mamlaka ilithibitisha katika taarifa yake kwamba katika
ya mamlaka ya kiuhandisi ya utangazaji ,
ikishirikiana na sekta nyingine muhimu kwa kuviberesha vituo vya utangazaji wa kiardhi kwa maandalizi ya unukulu wa matukio yote na
mechi ya Kombe la Mataifa ya kiafrika itayofanyika nchini Misri mwezi huu .
Mamlaka ilisisitiza kuwa ina haki ya utangazaji wa kiardhi
kwa matukio ya kisanaa, kijamii au
kimichezo toka mashindano au michezo
katika Nyanja mbalimbali za michezo
zilizofanyika nchini Misri chini ya
kanuni na kwamba haki ya kumiliki
utangazaji wa kiardhi nchini Misri ni haki ya asili ya watu kulingana na kanuni
.
Mamlaka ilihitimisha taarifa yake kwa matamanio yake halisi
kwa mashabiki wa mpira wa kimisri kwa
mtazamo mzuri na timu ya kimisri kwa
mafanikio na kushinda michuano .
Comments