Mashabiki 30,000 katika mechi ya kirafiki kati ya Misri na Tanzania katika maandalizi kwa mataifa ya Afrika

Shirikisho la Soka la kimisri (EFA) limeamua kutoa tiketi za mechi ya timu ya mafarao na timu ya Tanzania Jumatatu ijayo kwa njia ya vituo vitatu vya usambazaji katika Kilabu mbili  za Olimpiki na Tramu na uwanja wa ndege huko Burj Al Arab.

 

Timu ya Misri itakutana na mwenzake wa kitanzania katika uwanja wa Borg Al Arab jioni ya  Alhamisi ijayo, katika mpango wa timu mbili kwa maandalizi ya michuano ya Afrika itakayofanyika kipindi cha21 Juni hadi 19 Julai huko Misri.

 

Amer Hussein, mkuu wa eneo la Aleskandria  lililowakilishwa kwa maandalizi ya mechi, alisema kuwa mamlaka za usalama zilikubali kuingia mashabiki  elfu 30.

Aliongeza kuwa bei ya tiketi ya umoja huainishwa kwa paundi 30 na daraja la kwanza kwa paundi 100

Idara ya uwanja wa Borj Al-Arab iliainisha milango ya  5, 6 na 7 kwa  kuingia  wamiliki tiketi za kiujumla  na mlango wa  3 kwa wamiliki wa tiketi ya daraja la kwanza na mlango wa  10 kwa chumba kikuu na  mlango wa  2 kwa  timu mbili, referii na vyombo vya habari na mashabiki wa timu ngeni. 

Comments