kwa asilimia 99 % Kukamilika shughuli za uwanja wa kairo

 Dokta Mustafa Madbuly "Waziri Mkuu" Na Dokta Ashraf Subhi "Waziri wa Vijana na Michezo" walitembelea

  Uwanja wa kimataifa wa Kairo , kufuatilia shughuli zinayoendelea katika uwanja huo, ufunguzi wa Kombe la Mataifa ya kiafrika utafanyika huko, Total  Misri 2019, tarehe 21 Juni kati ya timu za Misri na Zimbabwe.

 

Waziri Mkuu na Waziri wa Michezo na walihakikisha kwamba shughuli  zinafanyika katika uwanja kwa asilimia  99%  kutoka  shughuli mbalimbali zimekamilika na kuna mambo madogo ambayo yatimizwa manmo masaa madogo  ili kukaribisha  ufunguzi.

 

Rais Abdel Fattah al-Sisi alifanya mkutano na viongozi wa kufuatilia maandalizi ya michuano

Na aliamuru kwa Misri hutoa michuano mikubwa katika historia ya bara la kiafrika .

Comments