Dokta Gamal Elqaluby anahamisha jaribio la kimisri katika uwanja wa Nishati kwa vijana wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa kiafrika.

Dokta Gamal Elqaluby "Profesa wa Uhandisi wa Mafuta na Nishati katika chuo kikuu cha Kimarekani, na mwanachama wa baraza la idara ya jumuia ya kimisri kwa Mafuta " amesisitiza kwamba Misri mnamo miaka iliyopita imechukua hatua za mbele kwa kupunguza mauzo ya nje ya vyanzo vya Mafuta ili kuacha jambo hilo kwa kufikia mwaka wa 2022 baada ya kutosheleza kwake toka Gesi asilia, akiashiria kwamba Uongozi wa kisiasa kwa nchi ulizingatia kupunguza Kadi ya kununua toka nje kupitia hatua kadhaa zilizochukuliwa kwake kwa ajili ya kuhakikisha maendeleo endelevu.


Na hayo yalikuja mnamo kikao kinachohusu "Nishati nchini Misri " katika matukio ya siku ya nne toka Udhamini wa "Nasser kwa Uongozi wa kiafrika " uliotolewa kwa Wizara ya vijana na michezo (Ofisi ya vijana waafrika na idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia) chini ya uangalifu wa Dokta Mustafa Madbuly "Waziri mkuu" na kwa kushirikiana na Shirikisho la vijana waafrika, mnamo kipindi cha 8 hadi 22 Juni 2019 katika kituo cha Elimu ya kiraia kwenye Aljazira.


Pia Bwana Elqaluby alifafanua mipango na hatua zilizochukuliwa kwa Misri ili kuhakikisha maendeleo katika uwanja wa Nishati, akisisitiza kwamba hatua hizo zinazohusu Mafuta au Gesi asilia au Umeme zinazingatiwa mwelekeo mkubwa ili kuhakikisha kutosheleza binafsi kwa Misri toka Nishati, linalosabibisha kupatikana mabilioni ya dola, akiashiria kwamba Nishati inazingatiwa nguzo kuu kwa kuhakikisha maendeleo endelevu.


Na Elqaluby alithibitisha kwamba mkakati wa nchi katika sekta ya Nishati unaangalia mihimili mitatu mikuu nayo ni : kurejea maumbo, marekebisho ya sekta ya Gesi asilia, kuimarisha ufanisi wa Nishati, na kushinda uhalisia wa Ongezeko la joto duniani la kimataifa, kupitia Uzalishaji.


Na Elqaluby aliashiria kwamba shamba la jua Katika Bebnan kwenye njia ya Aswan, inazingatiwa kimoja cha vituo vitatu vikubwa zaidi katika mashariki ya kati Na kaskazini ya Afrika, akifafanua jaribio la kimisri katika matumizi ya Nishati ya jua na kuibadilisha kwa Umeme, akithibitisha kwamba serikali ya kimisri inaelekea mpango wake wa sekta ya Nishati kwa kutofautisha katika vyanzo vya Nishati, ambapo unategemea kuzalisha Nishati ya umeme kwa kutumia njia mpya za kiteknolojia.


Alionyesha mafanikio yaliyohakikishwa kwa Misri kupitia kujenga miradi kadhaa kwa kujenga Miundombinu na kuunda wavu wa kitaifa kwa Umeme toka Aswan ili kufunika pembe zote za Jamhuri kwa Umeme, akibainisha kwamba Misri ina vituo 68 vya Umeme na vituo 3 vya Nishati ambazo ni miongoni mwa vituo 8 vikubwa zaidi duniani, pamoja na minara ya Umeme, na kuunda wavu wa kitaifa kwa Mawasiliano ambao unategemea juhudi kubwa na unapanuza ili kufikia Mji mkuu mpya.


Na Elqaluby aliwaomba vijana waafrika kwa kupambana na matatizo ya nchi zao kwa nafsi zao wakizingatiwa wahusika wa uongozi wa mambo ya nchi zao na bara lao, pamoja na kunufaika toka jaribio la kimisri na kulihamisha kwa nchi za bara la kiafrika kupitia ushirikiano, na juhudi ya pamoja, kama kuizingatia Misri sehemu toka Afrika, akithibitisha dharura ya kuhangaika ili kutatua matatizo ya bara na kuhakikisha uhuru na Usalama kwa ajili ya maendeleo ya sekta ya Nishati kisha kuhakikisha maendeleo endelevu.

Comments