Faida kumi kwa Juisi ya Nyanya ya muhimu zaidi ni " kulinda Moyo"


Hakuna Nyumba bila ya  Nyanya,hiyo ndiyo aina maarufu ya miboga inayopendelewa na wengi na hutumiwa  kuandaa vyakula kadhaa .Nyanya ina kiasi kikubwa cha vitamini na virutubisho vinavyokuza afya ya mwili na kuukinga kutokana na magonjwa na  virusi.


 1- Juisi ya Nyanya ina vioksidishaji vingi na Beta-carotene, inayokuza Afya ya moyo na mishipa.


 2- Ulaji wa mara kwa mara kwa juisi ya Nyanya husaidia kuchochea utumbo.


 3- Juisi ya Nyanya ina kiasi kikubwa cha vitamini na virutubisho vinavyokuza  Afya ya mwili na mfumo wa Kinga na kuilinda kutokana na magonjwa na virusi.


 4- Juisi ya Nyanya ina vifaa vya miboga  kama vile Beta-carotene, lutein, na zeaxanthin, pamoja na vitamini ya C, inayojulikana kulinda macho.


 5- Juisi ya Nyanya ina kiasi kikubwa cha vitamini na virutubisho vinavyoboresha Afya ya mwili na kuzuia aina tofauti za Saratani.


 6- Daima inashauriwa kunywa juisi ya Nyanya kupunguza hatari ya shida za kupumua na kuzuia pumu.


 7- Juisi ya Nyanya ina sifa kadhaa  zinazodhibiti shinikizo la damu na kudumisha Afya ya moyo.


 8- Nyanya ina kiwango cha juu cha vitamini ya C na vitamini vingine vinavyokuza Afya ya mwili na kuzuia homa na mafua.


 9- Juisi ya Nyanya inashauriwa kuongeza Afya ya misuli, viungo na kuzuia maumivu ya viungo.


 10- Nyanya hudumisha Afya na ubora wa Ngozi  na kuikinga na kuvimba na shida za ngozi.


Comments