Wizara ya Mambo ya kale inaweka mpango wa kukaribisha ndugu waafrika na kombe la mataifa ya Afrika


 Kwa uongozi wa Mwakilishi Tarek Radwan Waziri wa mambo ya kale Dokta Sami Elanaan alihudhuria mkutano wa tume ya mambo ya kiafrika katika Bunge, ili kujadili maandalizi ya Wizara, maeneo ya kiathari , na makumbusho kwa kuwakaribisha wageni wa bara la Afrika. 


 Mnamo mkutano huo Waziri wa mambo ya kale alithibitisha kwamba Wizara ilipunguza bei ya ruhusa ya kuingia makumbusho na maeneo ya kiathari kwa ndugu waafrika, na iliifanyika kwa bei binafsi ya wamisri mnamo mwaka wa 2019 na hayo kwa mnasaba wa urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika.


  Waziri aliashiria kwamba Wizara ya Mambo ya kale daima inaangalia mwito wa mabalozi wote wa nchi za kiafrika nchini Misri ili kuhudhuria sherehe, tamasha, na mapya ya kiathari zinazoandaliwa kwa Wizara katika mikoa tofauti, pia Wizara Ina makubaliano ya pamoja na nchi 29 za kiafrika ili kuimarisha ushirikiano wa shughuli za kiathari. 


 Na mnamo wakati wa kuzingatia Athari za mji wa Aswan, pia wakati wa tangazo la Mheshemiwa Rais wa Jamhuri kwamba Aswan ni mji mkuu wa vijana waafrika, Waziri alifafanua kwamba eneo la Abu Sembel liliendelezwa na ufanisi wake ulizidisha, na kuboresha mahali pa Kalbasha, pamoja na kuendeleza huduma katika kisiwa cah Fila mjini Aswan kupitia kufanyika Vibanda vya ulinzi, kufanyika Miavuli dhidi ya jua, vyoo vya kila  mahali, na mabango ya kuongoza, pia kurekebisha na kuongeza ufanisi wa Ulimi wa Hekalu la Fila na basi la mto na nyingine, pia kuzidisha ufanisi wa mwanga wa ndani na nje kwa makumbusho ya Nuba, na kutekleza mradi mkubwa ili kupunguza maji ya chini ya ardhi  katika Hekalu la Kom Embu.  


Na Waziri alionyesha kwamba mnamo miezi midogo ijayo Magofu ya kimiliki yatahamisha toka Makumbusho ya kimisri katika Tahrir kuelekea kwa Makumbusho ya kitaifa kwa ustarabu wa kimisri katika Fostat, pia vyumba viwili vya makumbusho vitafungua ili kutimiza ufunguzi wa vyumba vitatu toka kwake ambapo chumba kimoja kilifungua mwaka wa 2017. 


 Pia Waziri alitangaza kufungua Jumba la Baron baada ya kulirekebisha katika Oktoba ujao, na aliashiria kwamba kilikuwa zaidi ya makumbusho 20 yanayofunga katika mikoa tofauti, ijapo kuwa makumbusho 10 yalifunguliwa na yanayobakisha huandaliwa ili kufungua baadaye, na inayoamuliwa kufungua makumbusho 7 mengine mwaka ujao ilhali makumbusho ya Aswan yapo tayari ili kukaribisha wageni mnamo robo ya kwanza toka mwaka wa 2020, akionyesha kwamba kutatumika mifumo mipya zaidi ya Teknolojia katika makumbusho makubwa ya kimisri.

Comments