Waziri wa Michezo anawakutana na wajitolea 2,900 wa Kombe la Mataifa ya kiafrika katika uwanja wa Kairo.
- 2019-06-13 21:01:08
Dokta Ashraf
Sobhy "Waziri wa Vijana na Michezo" alikutana na vijana wa wajitolea
katika Kombe la Mataifa ya kiafrika ambao
idadi yao inakadiria kwa
vijana na wasichana 2900, kwa kuwepo kwa
Dokta Jihad Amer, "Msaidizi
Mwenyekiti wa kamati iandaayo, Raisi wa
Kamati ya wajitolea Na Mwongozo wa timu Pamoja na vijana wa wajitolea katika
kuandaa Kombe la Mataifa ya kiafrika itakayofanyika huko Misri.
Dokta Ashraf
Sobhy alisifu jitihada zilizofanywa kwa
kamati ya wajitolea iliyoongozwa na Jihad Amer, akisisitiza haja ya
kufanya jitihada nyingi na kufanya kazi kwa njia isiyo ya kawaida, kwa ajili ya kuonyesha picha halisi ya Misri
kupitia michuano ya Mataifa ya kiafrika, ambayo ni tukio kubwa la kimichezo,
ambalo litafuatia zaidi ya bilioni 2 mtu kutoka dunia.
Kuwashiriki
katika mkutano Vijana wa wajitolea katika kuandaa mashindano katika viwanja
"Kairo,ulinzi wa hewa na ALSalaam "Washiriki waliosikia maonyesho
kuhusu Shughuli watakazozifanya wakati wa michuano, kwa kushirikiana na
utaratibu na tume maalum ya Kamati iandaayo ya Michuano ya Mataifa ya kiafrika.
Kwa upande
mwingine, Dokta Jihad Amer alishukuru
Waziri wa Vijana na Michezo kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa vijana wa
wajitolea katika michuano ya mataifa ya kiafrika katika viwanja vya
"Kairo,Ulinzi wa hewa na ALSalaam ", akisisitiza imani yake katika
utendaji wa vijana wajitolea katika kuongoza michuano kulingana na uwezo wa
Misri wa kitaratibu kwa matukio na
michuano mikubwa ya kimichezo, na alitangaza
Idadi ya wajitolea katika michuano ni wajitolea 2900.
Inatajwa
kwamba Michuano ya Mataifa ya kiafrika
yenye Namba ya 32
itayofanyika katika kipindi cha 21-19
Julai ujao, kwa ushiriki wa timu 24 za kiafrika
kwa mara ya kwanza, zikigawanywa kwa makundi 6, zilizohudhuriwa na viwanja vya michezo Kairo, ulinzi wa hewa,Al
Salaam, Aleskandria, Ismailia, na Suez.
Comments