Mfaransa Frabar ndiye mwanamke wa kwanza kushiriki katika usimamizi wa mechi za Euro


Mfaransa Stephanie Frapar atakuwa mwanamke wa kwanza kushiriki katika mechi za Mashindano ya Soka ya Ulaya kwa wanaume baada ya Shirikisho la Ulaya "UIFA" kuonesha orodha ya Marefa wa mashindano hayo.


 Mnamo miaka miwili iliyopita, Frapar amekuwa mwanamke wa kwanza kusimama mechi kwenye Ligi ya Mabingwa ya wanaume, mechi ya namba 1, na mechi ya Fainali za Kombe la Dunia la wanaume.


 Farabar hakutajwa kati ya Marefa 18 ambao watasimamia mechi 51 kwenye Mashindano ya Ulaya, lakini atakuwa kati ya wasaidizi kama Refa wa nne au kama Refa msaidizi mbadala.


 Michuano ya Ulaya, iliyoahirishwa mwaka jana kutokana na Janga la Corona, itafanyika kati ya Juni 11 na Julai 11 mijini kwa nchi 12.


Comments