Msaidizi wa Waziri wa mambo ya nje anakutana na vijana waafrika wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa kiafrika ili kujadili masuala ya kisiasa ya kimisri barani Afrika.

Balozi Abu Bakr Hefny "Msaidizi wa Waziri wa mambo ya nje kwa masuala ya kiafrika " amekutana na vijana waafrika wanaoshiriki katika Udhamini wa "Nasser kwa Uongozi wa kiafrika ", katika makao makuu ya Diwani kuu ya Wizara ya mambo ya nje ya kimisri, na hayo yanakuja mnamo matukio ya Udhamini wa "Nasser kwa Uongozi wa kiafrika " uliotolewa kwa Wizara ya vijana na michezo ( Ofisi ya vijana waafrika, na Idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia) chini ya uangalifu wa Dokta Mustafa Madbuly "Waziri mkuu", mnamo kipindi cha 8 hadi 22 Juni 2019, kwa kushirikiana na Shirikisho la vijana waafrika.

 

Na mnamo mkutano huo Balozi Abu Bakr Hefny alijadili masuala ya kisiasa ya kimisri ya nje, ambapo alisisitiza juu ya mchango mkuu wa Misri kwa uongozi wa Rais Abd Elfatah Elsisi katika bara la kiafrika katika nyanja tofauti, pia ni kukikamilisha yaliyoanzishwa na Kiongozi aliyekufa Gamal Abd Elnasser barani Afrika, na hayo kulingana na imani ya Uongozi wa kimisri kwa umuhimu wa Afrika, akiashiria kwamba Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika unazingatia shughuli kubwa sana kwa kupambana migogoro na kumalizika Azma sugu katika maeneo tofauti ya bara la kiafrika, linaloakisi mpango wa njia unaolenga kunyamiza Bunduki 2020.

 

Na Hefny alifafanua kwamba Siasa ya nje ya kimisri inahangaika kufikia maamuzi na mikataba ya kiutendaji inalenga kuimarisha na kuunda mawasiliano pamoja na nchi za bara la kiafrika ili kuhakikisha ushikamano wa kiafrika, akisisitiza juu ya udhibiti wa Misri "kwa Uongozi wa Abd Elfatah Elsisi " kwa kutekleza Ajenda ya Umoja wa kiafrika 2063 kupitia programu na mipango kadhaa inayotolewa katika nyanja tofauti.

 

Na Hefny aliashiria kwa mfululizo wa makubaliano na mikataba inayofanyikwa kwa Wizara ya mambo ya nje ya kimisri pamoja na nchi nyingine za kiafrika kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano na nchi za kiafrika katika nyanja zote.

Comments