Waziri wa Michezo anampongeza mchezaji wa Sarakasi Zeina Ibrahim kwa kufikia kwake kwa Olimpiki ya Tokyo


Waziri wa Vijana na Michezo, Dokta Ashraf Sobhy, alikuwa na hamu ya kumpongeza mchezaji wa Sarakasi, Zeina Ibrahim, kwa kufikia kwake kwa Olimpiki ya Tokyo, wakati wa  Fainali za Sarakasi ya Afrika na Trampoline zinazofikisha kwa Olimpiki ya Tokyo 2020, ambayo mashindano yake yataendelea hadi Mei hiyo, 27 .


Wakati wa pongezi zake, alisisitiza kwa kutoa msaada wa kila aina kwa wachezaji wa kiume na wa kike katika michezo anuwai chini ya uongozi wa kisiasa  unaozingatia sana michezo na wanariadha.


Waziri wa Michezo alisema kuwa mashindano ya kiafrika yanayofikisha kwa Olimpiki ya Tokyo 2020, ambayo kwa sasa imeandaliwa kwa Misri, ni mazoezi ya mwisho ya kabla ya Misri kukaribisha Kombe la Dunia la Sarakasi ya kiufundi, Juni ijayo mapema,  inayofanyika kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano barani Afrika.

Comments