Kamati ya refarii wa
Shirikisho la Soka la kiafrika (KAF)
imetangaza orodha ya mwisho ya refarii wanaoshiriki katika fainali za mechi za Kombe la Mataifa ya Afrika 2019
zitazofanyika nchini Misri katika kipindi cha 21 Juni hadi 19Julai.
Ibrahim Nour al-Din
alichukua nafasi badala ya Mahmoud al-Banna, ambaye alijeruhiwa wakati wa kambi
la Moroko, Licha ya utayari wake sasa
hivi , na orodha imejumuisha refarii Mmisri Amin Mahmoud Omar.
Orodha hiyo pia iliona kuwepo refarii wasaidizi watatu kutoka Misri, nao ni Tahsin
Abu al-Sadat, Mahmoud Abu al-Rajal na Ahmad Husam Taha
Comments