Tangu muda mfupi tu, Ujumbe wa Timu ya kwanza ya mpira wa miguu ya Al-Ahly uliondoka Uwanja wa Ndege wa Carthage, ukiwa unaelekea Kairo, baada ya kucheza mechi ya Esperance, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Hamadi Al-Aqrabi huko Rades, katika mchezo wa kwanza ya nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Al-Ahly iliishinda Esperance kwa goli bila lolote, lililofungwa na Mohamed Sherif, wakati ambapi mechi ya kuridi kati ya timu hizo mbili itafanyika Juni 26 mjini Kairo.
Pitso Mosimane, Kocha wa timu hiyo, alisema kuwa haiba ya wachezaji wa Al-Ahly ilikuwa ilipatikana kwenye mechi hiyo dhidi ya Esperance, na uzoefu wao ulionekana ndani ya mechi nzima, na walifanikiwa kupata ushindi na kuwafurahisha mashabiki wao.
Kocha huyo aliongeza: Tuliiheshimu timu ya Esperance na wafanyikazi wake wa kiufundi, na tija ya mechi inaonesha heshima hiyo, haswa kuwa mechi za timu hizo mbili za hapo awali zinathibitisha ugumu wake.
Musimani alielezea ghasia za umati zilizofanyikwa kabla ya mechi hiyo, akibainisha kuwa inawezekana kufanyika, na hufanyika mahali popote Duniani, na Al-Ahly na Esperance ya Tunisia zina uzoefu wa kutosha kukabiliana na hali kama hizo, akiashiria kuwa alifanya upya kwa nia na azima za wachezaji ndani ya chumba cha kubadilisha Nguo wakati wa hali iliyofanyikwa kabla ya mechi, akisisitiza kuwa hakufanya hivyo peke yake, bali pamoja na Kocha wa timu, .Mohamed El-Shennawy na Saad Samir
Comments