Rais wa Olimpiki na Waziri wa Michezo wahudhuria kuheshimiwa kwa wafikiao Olimpiki ya Tokyo

 Mhandisi Hisham Hatab, Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Misri, amehudhuria kuheshimiwa kwa wachezaji wa kiume na wa kike kutoka Klabu ya Al-Jazira waliofikia Olimpiki ya Tokyo, itakayoanza Juni 23.

Heshima hiyo ilifanyika kwa mahudhurio ya D. Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, na Amr Jazareen, Rais wa Klabu ya Al-Jazira. Ambapo Heshima hiyo ilifanyikwa kwenye tawi la Klabu ya Al-Jazira huko mjini mwa 6 Oktoba.

Mhandisi Hisham Hatab, Rais wa Kamati ya Olimpiki ya Misri, alielezea furaha yake kwa heshima hiyo,  ambayo ni ishara muhimu kwa wakati huo ili kupanuka shauku ndani ya mioyo ya wachezaji wa jinsia mbili tofauti, kabla ya kusafiri kushiriki katika Olimpiki ya Tokyo ili kushindana medali za Olimpiki ili kuinua bendera ya Misri katika vikao vyote vya kimataifa, na tuna imani kubwa kwa wachezaji wote waliofikia Olimpiki ya Tokyo

Comments