Mnamo maandalizi kwa mataifa ya Afrika ... Waziri wa Michezo na Waziri wa Maendeleo ya kienyeji wanafuata miguso ya mwisho katika uwanja wa Kairo

Dokta  Ashraf Sobhy Waziri wa Vijana na Michezo na Jenerali Mahmoud Shaarawi, Waziri wa Maendeleo ya kienyeji , waliangalia miguso ya mwisho na shughuli zinazoendelea katika uwanja wa Kairo .katika sehemu ya kufuatilia maandalizi ya mkoa wa Kairo Kwa Kombe la Mataifa ya kiafrika katika kipindi cha 21 Juni hadi 19 Julai 2019.

Waziri wa Vijana na Michezo na Waziri wa  Maendeleo ya kienyeji waliangalia shughuli za maandalizi za mwisho katika pande zote za uwanja huo. Waziri wa Vijana na Michezo alimwambia Waziri wa Maendeleo ya kienyeji kuhusu maendeleo na uboreshaji uliofanyika kwenye uwanja wa Kairo juu ya ardhi .

Sobhy na Shaarawi waliangalia dambra kuu, iliyokamilishwa Chumba cha wegeni wakuu (VIP) , kituo cha vyombo vya habari, na barabara mpya inayoelekea kwenye uwanja.

 

Dokta  Ashraf Sobhy alisema kuwa maeneo mapya yalitengenezwa na kuendelezwa sawa sawa na ukubwa  wa uwanja itatumiwa katika mapokezi na ukaribishaji, na akiashiria kuwa lango la uwanja la bahari limebadilishwa. Mitandao inafanywa upya na unaendeliaji kwa mwanga zimekamilishwa na maendeleo ya mtandao wa Wi-Fi ndani ya uwanja, eneo la vyombo vya habari na miundombinu.

Comments