Wizara ya vijana na michezo ya kimisri yashiriki katika tukio muhimu zaidi Duniani Dubai expo 2020


Wizara ya vijana na michezo inashiriki  pamoja na idadi kadhaa ya Wizara katika upande wa  kimisri , ambapo kiliopo katika " Eneo la Nafasi " 


Na Wizara ya vijana na michezo itatoa warsha kadhaa kupitia miezi sita ambayo ni muda wa maenesho  , na warsha hizo zitajadili maudhui na shughuli nyingi

Zilizofanywa na Wizara wakati kipindi kilichopita na maoni yake ya mustakabali chini ya Uangalizi wa Rais wa Jamhuri  Abd El Fatah El Sisi.


Ambapo Waziri wa vijana na michezo Dokta Ashraf sobhy alisisitiza kwamba ushiriki wa Wizara ya vijana na michezo katika Upande wa  kimisri ni jambo muhimu na hayo kwa kuzingatia mbele ya zaidi ya nchi 190 zinazoshiriki katika tukio hilo  mwamko kamili ambayo Misri inaishi kutoka mafanikio na mageuzi ya kimaendeleo katika sekta tofauti na miongoni mwake Wizara ya vijana michezo .


Akiashiria kwamba Wizara ya vijana na michezo itatoa shughuli na miradi mingi kwa watembezi kupitia warsha zinafanywa na Wizara , pamoja na kuonesha kiwango cha mafanikio yanayofanyika Nchini Misri , haswa maendeleo katika uwanja wa vijana na michezo pamoja na nyanja zingine zinazotolewa na Wizara .


Na pia kuzingatia maendeleo kamili 

Yaliyoshuhudiwa katika miundombinu wakati enzi ya Rais wa Jamhuri Abd El-Fatah El Sisi na pia umakini endelevu kwa vijana wamisri na kwa michezo Nchini Misri , jambo lililosababisha maendeleo ya michezo Nchini Misri na uwezo wa kukaribisha Michuano tofauti ya kimataifa katika michezo yote .


Expo Dubai inazingatiwa Expo ya kwanza inafanyika katika eneo la mashariki ya kati , Afrika na kusini mwa Asia , Na nchi 192 zinashiriki katika tukio hilo la kimataifa , Ambapo inayoamuliwa kufanyika sherehe ya ufunguzi wa Expo Dubai 2020  mnamo Septemba, 30, 2021

Comments