Waziri wa vijana na michezo afuata Mwenendo wa mchakato wa uchaguzi katika eneo la Elmahla na kisiwa cha Elward


Mnamo masaa yaliyopita, Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alifuata kwa undani Mwenendo wa mchakato wa uchaguzi kwa mashirika ya kimchezo, kuhakikishia utulivu wa mambo yote bila ya matatizo ,pamoja na ufutiliaji na wilaya ya vijana na michezo Ili kutambulia kuchukua taratibu zote zinazohusiana na makundi makuu kwa mashirika ,wakati ambapo hayo yote huangaliwa na usimamizi kamili kwa kamati ya juu kwa uchaguzi kuhusu maelezo yote ya mchakato wa uchaguzi .



Pia Waziri huyo alihakikishia  hali ya mchakato wa uchaguzi zilizoshuhudiwa pale klabu nyingine za kimichezo leo, miongini mwao ni Elmahla mkaoni Elgharbia na klabu ya kisiwa cha Elward mkoani Elmansora ,akisisitizia kulazimisha watu kwa namba ya taratibu na hatua za kitahadhari Ili kuhifadhi usalama wa wachaguzi kujikinga  Virusi vya Corona .



Mchakato wa uchaguzi mkoani Elmahla na kisiwa cha Elward unakaribia kumalizika wakati wa kukaribisha kumalizika mchakato wa uchunguzi

Comments