Ashraf Sobhy atangaza : kwa mara ya kwanza Misri yakarbisha mikutano ya Wada mwaka ujao


Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alitangaza kwa mara ya kwanza barani Afrika , makabiliano ya wakala ya kimataifa ya kupambana na  Mada za Kusisimua  (Wada)

Juu ya ukarbishaji wa Misri mikutano ya ofisi ya kiutendaji na baraza mwaka ujao 2022, na hiyo wakati wa mkutano wa mawaziri waafrika wa  vijana na michezo Ili kutafutia njia za uboreshaji wa mipango ya kupambana na Mada za Kuchochea barani Afrika .



Jambo hilo limekuja ,kupitia video Conference ,kwa mahudhurio ya mwenyekiti wa wakala ya kimataifa Ili kupambana na   Mada za kuchochea(Wada) bwana Banka , Bwana Yang Yang  naibu wa mwenyekiti wa wakala , Balozi Amira Elfadal kamishna wa Umoja wa kiafrika kwa masuala ya kijamii , na mawaziri wa vijana na michezo nchini Ghana , Nigeria , Algeria ,Cameron ,na Jabon , na kundi la wahusika wa wakala ; Ili kutafutia na kujadili mafaili maalum katika wakala na hatua za kuyatekeleza barani Afrika .



Mkutano ulijumuisha ,makabiliano ya wakala ya kimataifa Ili kupambana na Mada za kuchochea (Wada) juu ya ukarbishaji wa Misri kwa mikutano ya ofisi ya kiutendaji na baraza mwaka ujao , na hatua za kuanzisha taalumu ya kiafrika na kielimu Ili kupambana na Mada za kuchochea nchini Misri , inayozingatia kutoka vituo muhimu zaidi za ufahamu na mazoezi katika uwanja huo, na inazingatia ya kwanza katika Mashariki ya Kati na Afrika , inawezekana kutolea warsha za kisayansi na semina,  linaloboresha nyanja za kazi yake , na baraza linajumuisha wahusika wa kiafrika maalamu na wahusika wenye mahusiano .



Mwanzoni mwa mkutano ,Waziri wa vijana na michezo alikarbisha  mwenyekiti wa wakala ya kimataifa Ili kupambana Mada za kusisimua (Wada) bwana Witold Banka , wahusika wote katika wakala ,balozi Amira Elfadal , na mawaziri wote wa vijana na michezo nchini Nigeria ,Ghana , Algeria , Gapon na Cameron , akisifu kwa mahusiano ya kimatibabu kati ya serkali ya kimisri inawakilishi katika wizara ya vijana na michezo , Shirika la kimisri Ili kupambana na Mada za kusisimua ( Elnado) ,na wakala ya kimataifa Ili kupambana na Mada za kuchochea.



Dokta Ashraf Sobhy alizungumzia  usaidizi wa juhudi za wakala ya kimataifa Ili kupambana na Mada za kusisimua na kuenea   ufahamu    kwa hatari ya Mada hizo dhidi ya wachezaji , pia itafanyawa utaratibu kamili na wahusika wa Wada na Elnado kuhusu taratibu zote na maandalizi yanayohusu kwa ukarbishaji mikutano ya ofisi ya kiutendaji ,na idara ya wakala ya kimataifa Ili kupambana na Mada za kuchochea ,na kuhakiksha mafanikio yake pamoja na mafanikio ya nchi ya kimisri katika ukarbishaji mkubwa wa matukio na michuano ya kimchezo .




Waziri alitoa shukurani na heshima kwa Rais Abd El-Fatah El Sisi Rais wa Jamhuri ya Misri kwa utiliaji umuhimu juu ya usaidizi wa mahusiano ya kidoplomasia na nchi za kiafrika na usaidizi mkubwa kwa michezo , akifafanua kujali kwa upande wa kiafrika na matatizo yanayoongeza na mtazamo ya siku za usoni kwake , na mchezo mzuri  kutoka upande wa kiafrika ,ulikuja mwanzoni mwa hadithi na mwenyekiti wa wakala ya kimataifa kwa Mada za kuchochea ,akisifu juhudi zinazitolewa  kutoka wakala barani Afrika .




Dokta Ashraf Sobhy aliashiria kuwa hilo linakuja miongini kwa mikutano ya kila wakati ,Ili kuimarisha ushirkiano wa kimataifa katika uwanja wa kupambana  Mada za kusisimua ,na kusistizia mchango Mkuu wa Misri kimataifa ili kufanya mchezo uwe bila ya Mada za  kuchochea .




Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wada alielezea heshima  na shukurani yake kwa nchi ya kimisri, inayowakilishi katika Waziri wa michezo kuhusu usaidizi unaotolewa kwa Shirika la kimchezo barani Afrika haswa katika uwanja wa kupambana na Mada za kuchochea,akisistizia heshima na shukurani yake kwa Waziri huyo juu ya usaidizi ambayo serkali ya kimisri inatoa kwa Shirika la kimchezo barani Afrika .



Mwenyekiti wa Wada aliashiria kutafutia kwa wakala Ili kuenea na kuongeza maabara maalum kwa kupambana na  Mada za kuchochea na miongini mwake ni maabara ya Kimisri 

, alitoa shukurani kwa nchi Ili kuichangia katika usaidizi wa utafiti wa kisayansi kwa wakala na mazoezi, linaloimrisha jukumu la wakala juu ya ngazi zote .




Alitaja Kila kitu ambacho alichokiona nchini Misri na makazi yanayopendekza na mkutano na Waziri wa vijana na michezo kilifurahisha kwa kuhakiksha mafanikio mazuri kwa matukio ya mikutano ya wakala ya kimataifa Ili kupambana na  Mada za kuchochea.

Comments