Chini ya uangalizi wa mwenza wa Rais, Wizara ya Vijana yaanza kuchunguza mawazo na mipango ya "Mwanzo wa Ndoto


Wizara ya Vijana na Michezo imeanza kuchunguza  mawazo ya “Mwanzo wa Ndoto”, yanayoandaliwa na Wizara ya Vijana na Michezo kupitia idara  kuu ya Programu za Utamaduni na kujitolea – idara kuu ya Vyuo Vikuu – chini ya uangalizi wa mwenza wa Rais, baada ya kumaliza ziara zake katika vyuo vikuu na mikoa kwenye Jamhuri.


Shindano hilo linalenga kufikia kiwango cha juu zaidi cha ushiriki wa vijana katika ujenzi wa jamii, kuboresha mtazamo wa kiakili unaohusiana na kazi za kitaifa na mipango ya jamii, kutoa mafunzo , kuwawezesha vijana  na kuimarisha viwango vya ufanisi na tija za hayo yote.vilevile, hulenga kuimarisha Misingi , maadili  na tabia  chanya kupitia kufanya kazi za vitendo pamoja na hayo , uunganisho wa ufanisi kati ya  mipango mbalimbali na maoni ya  30-20, linalokuza imani ya vijana kwa mfumo jumuishi wa kitaifa , kuunda mifano chanya na kuimarisha kanuni ya malipo  inayohusiana na ustadi na tija.


Shindano la mwanzo wa ndoto  ni shindano kubwa zaidi la mawazo na wenye mipango kwenye Jamhuri kote , likiwa na jumla ya tuzo ni   paundi za kimisri milioni moja na 370,000 kwa vijana kutoka umri wa miaka 18-35.


Kamati ya hukumu inajumuisha (Majid Harbi, Ahmed Reda, Mustafa Abd El Latif, Islam Mohamed Abd El Bari).

Comments