Waziri wa Michezo apongeza timu ya Al Ahly kwa ushindi wa lakabu ya kombe la Super ya Afrika
- 2021-12-25 00:01:45
Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo amepongeza timu ya Al Ahly ikiongozwa na kocha Mahmoud El Khatib mwenyekiti wa Klabu , wachezaji wote , na kifaa cha kifundi kwa maadhimisho ya ushindi wa lakabu ya kombe la Super ya Afrika baada ya kushinda timu ya El Ragaa ya Morocco kwa mkwaju wa penalti katika mechi ambazo zilikusanya timu mbili Leo katika uwanja wa Ahmed bin Ali kwenye eneo la Elrayan nchini Qatar .
Waziri alisifu uchezaji wa wachezaji wa klabu ya Al Ahly, pia uhamisahaji wao katika mechi na wezo zao kwa matukio ya mechi katika nusu ya pili; wakilenga kufikia penalti na ushindi kwa mechi Ili kuongeza michuano mipya kwa historia na michezo ya kimisri katika Soka juu ya ngazi zote za michuano ya bara la Afrika .
Waziri huyo akiashiria ushiriki wa timu zote za kimichezo zinazoshiriki katika michuano yote ya kibara na kimataifa, na kuwahamsisha kushinda lakabu zake , na kucheza vizuri, linaloonesha maendeleo ya michezo ya kimisri, inayopata uungaji mkono kutoka uongozi wa kisiasa , na inashuhudia mafanikio mengi katika michezo yote katika sherehe mbalimbali.
Kwa ushindi huo timu ya Al Ahly inahakikisha lakabu ya kombe la Super la Afrika kwa mara ya nane katika historia yake baada ya ushindi dhidi ya Klabu ya Elragaa ya Morocco kwa penalti kwa 6-5 baada ya kumaliza wakati kutoka mechi kwa usawa Chanya kwa goli kwa Kila timu
Comments