Timu ya Nigeria ilikubaki
mwito wa katiba Muhab Mamish "Rais wa kameshina ya mfereji wa Suez
"ili kutembelea kameshina mnamo siku ya Ijumaa asubuhi katika matembezi ya
kibahari pamoja na wanaojitolea katika kundi la Ismailyia.
Na Timu ya Nigeria inafanya
kambi la kufunga katika mji wa Ismailyia, linaloendelea mpaka miadi ya
kuhamisha kwake kwa Aleskandria ili kucheza mechi za kundi la pili.
Na ujumbe wa Tai kukubali
mwito huu ambapo uliambatana na Muhamed Shiha "Meneja wa kundi la sita
katika michuano. Na ujumbe wa Nigeria ulionyesha furaha yake kubwa kwa
kutembelea mfereji wa Suez, na mafanikio makubwa katika eneo hilo.
Comments