Anvanteno awapongeza Alam na idara kwa uchaguzi wao


Geani Anvanteno Mkuu wa Shirikisho la kimataifa la Soka FIFA alipeleka  pongezi kwa bwana Gamal Alam Mkuu wa Shirikisho la kimisri kwa Soka kwa  ushindi wa ordha yake katika uchaguzi uliofanyawa, alishika Urais wa Shirikisho la kimisri , na Anvateano alisema katika hotuba yake : 


Mheshimwa Mkuu natumaini kutoa mapongezi kuhusu uchaguzi wenu  kama Mkuu wa Shirikisho la Soka , kwa mujibu wa ninachokijua kwa mtindo wa utawala wenu , hamu zenu na uzoefu wenu Kama mwenyekiti wa zamani EFA ,hiyo itakuwa athari muhmiu kwenye uboreshaji wa mchezo wetu mzuri nchini Misri .



Mkuu wa Shirikisho la kimataifa aliongeza katika hotuba yake : mnaweza kutegmea msaada wangu na msaada wa FIFA Ili kuhakikisha malengo yenu na  FIFA iko tayari daima Ili kujadili mambo mnayoyapenda kuelekea mchezo wetu na uboreshaji wake .



Geani Anvanteno  katika hotuba yake alisisitiza kutoa pongezi lake kwa Naibu wa Mkuu na wanachama wa  baraza la idara ya wachaguzi , akitamani mafanikio kwa changamoto zote zinazotusubiri

Comments