Waziri wa vijana na michezo pamoja na Waziri wa mazingira wajadiliana njia za Ushirikiano katika kuunda mkutano wa hali ya hewa COP27

Waziri wa Vijana na Michezo :


"Vijana ni nguzo ya kuhifadhi kwenye Mazingira ...na mipango na harakati zinazoshiriki kwa kufahamisha vijana Kwa masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa.


" Uzinduzi wa klabu za hali ya hewa na mazingira katika vituo vya vijana kwa Ushirikiano na Wizara ya Mazingira .

" Mkutano wa Vijana kwa mabadiliko ya hali ya hewa kwa ushiriki wa Vijana waarabu na waafrika .


Waziri ya Mazingira: 


" Uungaji mkono wa Wizara kwa mipango ya kufahamisha  vijana kwa Suala la mabadiliko ya hali ya hewa .



" Kuzingatia wa kubadilisha vituo vya vijana viwe vituo muhimu kwa Ushirikiano na Wizara ya vijana na michezo .


Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alijadili na Dokta Yasmen Faud Waziri wa Mazingira njia za Ushirikiano Ili kufahamisha vijana Kwa masuala ya mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa kwenye ngazi ya kimataifa na uungaji mkono wa ushiriki wa vijana katika kuandaa kazi za mkutano wa Umoja wa Mataifa kwa mabadiliko ya hali ya hewa COP27 unaotarajia kufanyikia Novemba ijayo mjini Sharma Elsheikh , hiyo katika makao makuu ya Wizara ya Mazingira kwa mahudhurio ya Dokta Ali Abo Snh Mwenyekiti Mtendaji kwa Kituo cha masuala ya Mazingira ,  Balozi Wael Abo Elmgad , Balozi Mohamed Nasr , Balozi Aymen Thrwat Kama wawakilishi kwa Wizara ya mambo ya Nje , Mhandisi Sheriff Abd Elrhem Mwakilishi wa kimataifa kwa mkutano wa mabadiliko ya hali ya hewa na idadi za viongozi wa wizara mbili .



Mkutano ulijadiliwa Ushirikiano wa faida kati ya Wizara hizo mbili mnamo kipindi kijacho , kuweka mipango ya kazi Ili kubadilika vituo vya Vijana viwe vituo muhimu kwa Mazingira pamoja na kutumia vituo vya vijana katika kuandaa klabu za Vijana , hali ya hewa na Mazingira Ili kuunga mkono kazi ya Mazingira .


Waziri wa Vijana na Michezo alionesha mapendekezo ya Wizara kwa kilele cha nchi za pande katika mktaba wa hali ya hewa , akiashiria umuhimu wa kuhakikisha ushiriki mzuri kwa Vijana wakati wa tukio hilo na katika awamu ya maandalizi yake ,na uzinduzi wa kampeni nyingi za kutangaza kwa matatizo ya mabadiliko ya hali ya hewa , pia maandalizi ya Wizara kwa ushiriki kwa njia inayoonesha Misri na Vijana wake kwa sura safi .


Mapendekezo ya Wizara ya Vijana na Michezo kwa pande mbili yaligwanyika : kwanza inajumuisha idadi kwa mkutano wa vijana COY17 unaofanyika pembezoni mwa mkutano wa nchi za pande COP27, unaolenga kuwezesha vijana na kupatikana sauti zao rasmi kwa michakato ya mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa Ili kuunda sera za mabadiliko ya hali ya hewa ya kiserikali na kimataifa , inafanyika katika mji huu mkutano wa pande na inatangulia siku nyingi na inaitokea hati inawakilisha sauti ya vijana Duniani na inatoa na inaionesha kwenye mkutano wa upande wa COP na mkutano unalenga kujenga uwezo kupitia warsha za kazi na mabadiliko ya kiutamaduni , hiyo inakuja kupitia kutoa wito Vijana wanaofanya katika uwanja wa Mazingira kwa ushiriki katika mchakato wa maandalizi na kuunda kwa Shirikisho la kimisri kwa Vijana hao ili kuandaa .juhudi zake 

Pia inayohusu upande wa pili ilikuwa kupitia kuonesha mapendekezo ya Wizara kwa matukio makuu kwa mkutano wa pande kupitia hati iliyoandaliwa kupitia Vijana Duniani kote kuhusu mapendekezo ya Vijana wa Dunia , huu ni mpango wa Wizara ya maandalizi kwa tukio kupitia dalili ya kimataifa inayohusu mkataba , pia pendekezo la kuunda upya madaraka inawakilisha Vijana katika COP27 na mashindano " Ubunifu daima wa Vijana " .

Waziri wa Vijana na Michezo alisisitiza kunufaika kutoka uwezo mkubwa wa Vijana waafrika kwa kufanya jukumu zuri katika kutatua athari za Usalama na Maendeleo inayohusu hali ya hewa katika jamii zao ( katika mfumo COP27 na matukio yake ) .

Pia Waziri wa Vijana na Michezo alisisitiza kuwa vijana ni kipengele kikuu katika kuhifadhi kwenye Mazingira , akieleza itaanza katika kutekeleza mipango na harakati zinazoshiriki na Wizara ya Mazingira Ili kufahamisha vijana kwa masuala ya mabadiliko ya hali ya hewa .

Waziri wa Vijana na Michezo alieleza kuwa itazinduliwa klabu za hali ya hewa na Mazingira katika vituo vya Vijana Kwa Ushirikiano na Wizara ya Mazingira , pamoja na kutekeleza mkutano wa Vijana kwa mabadiliko ya hali ya hewa kwa ushiriki wa Vijana waarabu na waafrika .

Kwa upande wake , Dokta Yasmen Faud Waziri wa Mazingira alieleza Shukrani na heshima yake kwa juhudi ya Waziri wa Vijana na Michezo na Ushirikiano wa kila wakati  na uungaji mkono kwa kazi ya Mazingira akiashiria kuwa Wizara ya Mazingira mnamo wakati huu inashughulikia kuandaa kwa mkutano wa hali ya hewa COP27 kwa ushiriki wa washiriki wote wa kazi ya Mazingira na Taasisi husika , na Wizara ya Vijana na Michezo inazingatiwa mshiriki muhimu,haswa inayohusu uungaji mkono wa jukumu la vijana katika kazi za kimazingira na kufahamisha Jamii .

Waziri wa Mazingira alisisitiza Tathmini yake kwa hati inayohusu jukumu la vijana na mapendekezo yanayotolewa kutoka Wizara ya Vijana na Michezo akiashiria kuwa yataangaliwa vyema yawe nguzo pia na Wizara ya mambo ya Nje kwa kuanza kazi haraka katika kuweka mipango ya kazi zinazoshiriki haswa inayohusu uungaji mkono kwa utaratibu wa kazi za vijana na kuunga mkono kwa jamii kwenye ngazi zote .

Dokta Yasmen Faud alieleza kuwa kuna pande mbili za kimsingi kwa kazi za vijana Kwa mkutano, nazo ni kushiriki katika upande wa maandalizi kwa tukio pamoja na kufanya kwa kazi zingine kupitia mkutano haswa mkutano wa vijana COY17 utafanyika kabla ya mkutano wa kubadilika hali ya hewa COP27 na dharura ya kuuandaa vyema  kupitia mafunzo na kuinua kufahamisha kwa vijana katika uwanja wa mabadiliko ya hali ya hewa kwenye ngazi ya kijamii ndani ya vituo vya vijana .

Waziri wa Mazingira akiashiria dharura kwa kunufaika kutoka ukarbishaji wa Misri kwa mkutano ndani jamii kwa masuala ya mazingira na kubadilika hali ya hewa kupitia maandalizi ya kampeni ya kitaifa kwa kutambua kwa mabadiliko ya hali ya hewa kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii inaeleza jukumu la Kila mtu katika suala hilo,  inayochangia katika uungaji mkono wa Jamii kwa mkutano na kuthamini mchango na umuhimu wake kwa Misri na Dunia na jambo hilo linafanywa sasa hivi na linahitaji uungaji mkono wa jamii kupitia vituo vya vijana na Wizara ya vijana na michezo kwake .

Waziri alisisitiza uungaji mkono kwa juhudi na mipango ya  Vijana ya Mazingira kwa kufahamisha kwa umuhimu wa Mazingira na suala la mabadiliko ya hali ya hewa na jukumu la Kila mtu katika ulinzi wa mazingira na kupambana kwa suala la mabadiliko ya hali ya hewa , na dharura ya kuwaarifu Vijana visa vya mafanikio ya kimataifa katika kupambana athari zinazobadilika hali ya hewa , pia dharura ya kunufaika kutoka harakati za kimchezo huko nje na ndani katika kusambaza Masuala ya hali ya hewa .

Waziri wa Mazingira aliashiria dharura ya kunufaika kutoka Jukwaa la Vijana Duniani na kikao kinachohusu  hali ya hewa na haswa chini ya mapendekezo ya Rais Mheshimiwa kwa dharura ya kuunda vikundi vya vijana Kwa ushiriki katika kuandaa tukio hilo na kuangazia kwenye majukumu katika masuala ya Mazingira na kufanya juhudi kwenye ngazi zote kwa ajili ya kufanikisha Kongamano hilo .

Pia wawakilishi wa Wizara ya Mambo ya Nje wakisisitiza heshima zao kwa hati ambayo inayotolewa na Wizara ya Vijana na Michezo kwa maandalizi ya mkutano , wakisisitiza dhraura ya kuiangalia na kuanza kutekeleza idadi za harakati za Vijana, zinazolenga kuongeza kufahamisha kwa suala la mabadiliko ya hali ya hewa kwa vijana kwenye ngazi zote , na wamesifu mapendekezo kadhaa na kuanza kuyaangalia ili kuweka mpango wazi wa kuanza kutekeleza .

Na Hadhira wote waliafikiana  kufuatilia mpango wa kazi ya mapendekezo ya vijana Kwa mkutano wa hali ya hewa pamoja na kuanza mpango wa kufahamisha Kama sehemu ya protokoli ya Ushirikiano inayofanyika kati ya Wizara ya Mazingira na Wizara ya Vijana na Michezo

Comments