Tuzo ya Paundi milioni 10 kwa wachezaji wa timu wakipata lakabu ya michuano ya Afrika


Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa vijana na michezo alitangaza kuhusu makubiliano pamoja na Mfanyabiashara Mhandisi Hisham Talat Mustafa,  Mwenyekiti Mtendaji kwa kundi la Talat Mustafa Ili kuandaa tuzo ya Paundi milioni kumi kwa wachezaji wa timu ya kitaifa -kimisri baada ya kushinda kwa lakabu ya kiafriki .



Kupitia simu yake kwa Waziri wa vijana na michezo , Mhandisi Taalat Mustafa alitoa pongezi kwa Waziri kuhusu mafanikio makubwa wa kufikisha timu ya kimisri kwa fainali ya michuano ya kiafrika na maonyesho yenye nguvu yanayotolewa na wachezaji wa Misri katika mashindano ya michuano ya kombe la Mataifa ya kiafrika , na ushindi wao  dhidi ya timu ya Cameron Jana , na kufikia fainali ya michuano .


Imeshakubaliwa kuandaa tuzo kutoka kundi la Talaat Mustafa kwa thamani ya Paundi milioni 10 kwa ujumbe wa timu baada ya kutawaza kwa lakabu ya michuano, na hiyo ni zawadi kutoka kundi hilo kwa wachezaji wa timu Ili kuwahamasisha na kutathmini utendaji wao , juhudi zao na mafanikio yao ambayo wanayafanya katika michuano hiyo

Comments