Taasisi ya kiafrika kwa uboreshaji na kuunda Uwezo ni mshirikiki katika Programu ya kitaifa kwa kuunda viongozi wanafunzi katika masuala ya kiafrika
- 2022-02-10 13:20:23
Nayo ni Taasisi ya kibara - kimataifa isiyo serkali , na isiyolenga Fedha , inajulikana Taasisi ya kiafrika kwa uboreshaji na Uwezo "African Association for Development and Buliding Capacity" inalenga kuhakiksha ukaribu na kuimarisha urafiki na ushirkiano wa Kusini-Kusini , pia taasisi inatoa huduma kwenye ngazi nyingi , jambo hilo linachagia kuhakiksha maendeleo ya kipekee kwa vijana wa kiafrika .
Taasisi hiyo inafanya kazi ya kuhakiksha malengo ya maendeleo endelvu na malengo ya Ajenda ya Afrika 2063 , inayohusiana kwa uwezo na ushirkiano wa kijamii , kuanzisha ushirkiano wa ufanisi na washirki wa maendeleo , uborehsji na kuunda Uwezo wa vijana katika nyanja zote haswa nyanja zinazohitajika katika soko la Ajira , pamoja na kuangalia maendeleo ya kipekee kwa vijana waafrika haswa wanaokaa ndani ya Misri .
Katika upande huu, Taasisi hiyo inatafutia kutoa harakati zinazofanya ufahamu wa kijamii , kiuchumi na kiutamaduni , na kuinua ufahamu kwa viongozi wa wanafunzi barani Afrika kuhusu majukumu Yao kuelekea jamii zao kwa ajili ya kufanya kitu chanya katika jamii za Kiafrika , na kuhakikisha maadili ya Amani na Usawa .
Hiyo inakuja kupitia kuanzisha vikao , vipindi vya kujadili, semina na kuimarisha ushirikiano kati ya Vijana wa bara , kutafutia njia kweli kuelekea kutekeleza mtazamo wa nchi katika kutekeleza lengo la ukamilifu wa kiafrika , ufahamu kwa Ajenda ya Afrika 2063 , mtazamo wa Misri 2030 na malengo ya maendeleo endelevu .
Comments