Heba amejifunza mambo ya bara kutoka "vijana wa dunia"na anawakilisha Misri katika tuzo la "Kiongozi wa kiafrika"
- 2019-06-16 12:12:38
Alikuwa na hamu kuhusu bara la Afrika tangu miaka iliyopita, hata yeye
amejaliwa (Hata kujitolea ) nafsi yake
ni kwa kila kitu kinachohusu na bara
baada ya kuhitimu masomo yake katika chuo kikuu ambapo yako mbali na uwanja
hiyo, hata amekuwa rais wa ruwaza ya mfano
wa umoja wa Afrika na kilele cha kiarabu cha kiafrika katika mkutano wa
Vijana wa Dunia , Alichaguliwa kati ya
viongozi 43 bora zaidi wa vijana wa kiafrika ambao wanawakilisha nchi
mbalimbali za Kiafrika katika Tuzo la Kiongozi wa Vijana wa Kiafrika (Youth
African Leader Award) ni tuzo ya kuheshimu viongozi wa vijana wa Kiafrika
kutambua juhudi zao za Kuimarisha masuala ya bara la kiafrika, hasa yanayohusu
vijana.
Mtafiti wa masuala ya Kiafrika, alishangaa kwa kumchaguliwa miongoni mwa
vijana 43 wa kiafrika katika tuzo ya kwanza ya aina yake kutoka shirika la
African Youth Architects shirika lisilo la kiserikali , ambalo lina lengo la
kukusanya viongozi wa vijana wa Kiafrika ambao wanaathiri mawazo yao kwa bara
hili katika Nyanja mbalimbali na makao makuu
yake yapo nchini Gambia.
Hiba Assem aliongeza mnamo kauli yake kwa Jarida la Elwatan kwamba yeye alitangulia kwa mashindano hata alipoambiwa mgombea wake kwa
fainali ,ambayo wanapaswa kuchagua watu 3 pekee mwishoni, na ndiye aliyekuwa
mgombea wa kimisri mmoja tu kwa tuzo.
Heba alihitimu masomo yake kutoka kitengo cha kihispania, kitivo cha
Fasihi .lakini upendo wake kwa bara la kiafrika haukumwachia baada kuhitimu
masomo yake na alipelekea kwa nia kubwa kwa kuomba kwa Ruwaza ya wa umoja wa
kiafrika huko chuo kikuu cha Kairo , ili kuanza kujua watu wa taifa tofauti
katika Afrika, nguvu zao hazitumiwi na kuamini kuwa kuna mambo mengi ya kawaida
kati ya watu wa bara lakini hawajuana , na kisha kujiunga Ruwaza ya mfano wa
Wizara ya Mambo ya Nje Kitivoni mwa Uchumi na Elimu za kisiasa na kuongoza Kamati ya Mambo ya
kiafrika ili Kuongeza kwa mfumo huo watafiti katika uwanja si kutegemea wanafunzi
tu.
Heba ni mhitimu wa kundi la kwanza la Programu ya Rais (PlP), Pamoja na
ni amekuwa rais wa ruwaza ya mfano wa umoja wa kiafrika na kilele cha kiarabu
na kiafrika katika Jukwaa la vijana
wa Dunia
. pia ni mhitimu wa kwanza wa Shule ya Kimajira ya kiafrika, 2063,
ambayo ilikuwa ni mchango wa kwanza wa Wizara ya Vijana na Michezo , Katika
maandalizi ya urais wa Misri wa Umoja wa Afrika 2019, pamoja na kuandaa
diploma ya kujadili usimamizi wa mizozo
na migogoro ya Kiafrika.
Imetajwa kwamba shirika la African Youth Architects "AYA" inalenga kulipa pesa Kwa udhamini na Ujasiriamali huko Afrika , Ilianzishwa tarehe 23 Machi 2018 kama shirika lisilo la kiserikali imekuwa shirika la kimataifa ama shirika lisilo la kifaida, linaloongozwa na vijana ambalo linasaidia kuzingatia mipango ya vitendo vya vijana kuzingatia hasa utekelezaji wa Mpango wa Utekelezaji wa miradi ya Vijana na malengo ya Maendeleo Endelevu na Mpango wa Kazi wa Umoja wa Afrika 2063.
Comments