Timu ya taifa ya Misri yafikisha nafasi 34 Duniani kwa uainishaji wa FIFA baada ya mashindano ya Afrika
- 2022-02-12 12:53:51
Shirkisho la kimataifa kwa Soka "FIFA" lilitangaza uainishaji wa mwezi wa Januari kwa timu .
Timu ya taiga ya Misri ilifikisha nafasi 34 Duniani , baada ya Mafarao walifikisha katika nafasi 45 , kiasi kwamba ilifika nafasi ya nne Barani Afrika na ya Pili kwenye ngazi ya kiarabu .
Mafarao walipata nukta 42 kutoka ushiriki katika michuano ya Afrika ambayo timu ya taiga imechukua nafasi ya pili baada ya timu ya taifa ya Senegal .
Timu ya taifa ya Misri ilifikisha nafasi ya 45 Duniani na 6 Barani Afrika , kwa hesabu nukta 1551 kabla ya kuingia katika mashindano ya Afrika, lakini timu ya taifa ya Misri baada ya mashindano ya Afrika ilifikisha nafasi 34 Duniani, na nafasi ya nne Barani Afrika kwa hesabu nukta 1493 , ingawa kushindwa katika fainali ya Afrika, lakini Mafarao walipita nafasi 11 Duniani na nafasi 3 Barani .
Timu ya taifa ya Ubeljaji ilifika kileleni katika Uainishaji huo na ilipatia nafasi ya kwanza Kisha timu ya Barazel , Kisha timu ya tsifa ya Ufaransa ilifika katika nafasi ya tatu , na timu ya taifa ya Senegal iliweza kuchukua nafasi 18 baada ya kutawazwa kwa lakabu ya michuano ya Fainali ya kombe la nchi za Kiafrika , na timu ya taifa ya Morocco ilikuwa mbele ya timu za Kiarabu ikishika nafasi ya 24 .
Comments