Waziri wa Vijana na Michezo apokea ujumbe wa klabu ya Al Ahly baada ya kutawazwa kwa medali ya Shaba ya kombe la Dunia la Klabu


Dokta Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo alipokea ujumbe wa Klabu ya Al Ahly , katika uwanja wa ndege wa Kairo baada ya kutawazwa kwa medali ya Shaba ya kombe la Dunia la Klabu ,ambayo imefanyika huko (UAE) , hii ni mara  ya pili mfululizo na  ya tatu katika historia ya ushiriki wake katika kombe la Dunia la Klabu .



Waziri huyo alisisitiza kwamba nchi ya Misri inatilia umuhimu timu zote za kimchezo hushiriki katika michuano tofauti ya kibara-kimataifa , na kuwahimiza kwa ushindi wa lakabu zao , na kutoa utendaji mzuri , na kutilia umuhimu kwa kuwahimiza kupitia mapokezi rasmi , na kuwaheshimu kwa lengo la kuwahimiza Ili kuendelea mafanikio hayo yanayoongeza kwa mafanikio ya kimchezo -kimisri , kwa mtindo unaonesha uboreshaji wa michezo ya kimisri inayohamsishwa na uongozi wa kisiasa , na inashuhudia mafanikio yote kwenye ngazi zote za michezo katika Sherehe mbalimbali .



Waziri huyo alitoa pongezi kwa baraza la Klabu ya Al Ahly na wachezaji wote  wa timu na kifaa cha kifundi kwa ushindi wa medali ya Shaba kwa michuano ya Dunia kwa Klabu kwa mara ya tatu , akisifu  utendaji wa wachezaji wa timu ya Al Ahly , na kutoa utendaji tofauti kupitia mechi za michuano , pamoja na mafanikio mapya kwa historia ya michezo ya kimisri .



Klabu ya Al Ahly imetawazwa kwa medali ya Shaba katika kombe la Dunia baada ya ushindi dhidi ya Hilal ya Saudi Arabia kwa magoli manne, wakati wa mechi inayokusanya timu mbili kwenye uwanja wa mpira wa Alnahayan katika Klabu ya El wahada , katika mraba wa mashindano ya kuainisha nafasi ya tatu na nne katika michuano ya kombe la Dunia la Klabu 2021, mjini Abo Dhabi huko (UAE) .

Comments