Jenerali Khaled Tawfik anaonyesha kwa wana wa Udhamini wa
"Nasser kwa Uongozi wa kiafrika" kazi za kuua na kishujaa kwa Jeshi
katika kupambana Ugaidi na hayo yote yapo chini ya kauli ya " Kulipenda
Afrika"
Jenerali Khaled Mustafa Tawfik "Kiongozi wa Ulinzi wa
kienyeji na kijeshi, Kiongozi wa vita vya KARM TAFUADIS" alisisitiza
kwamba bara la Afrika lina Rasilimali, Tamaduni, na maana nyingi
yanayolifanyika kuibuka zaidi ya mabara mengine ya dunia, kukaribisha sana kwa
vijana waafrika katika nchi yake ya pili Misri.
Na hayo yalitokea mnamo matukio ya mkutano wa tatu wa
kiutamaduni kwa inwani ya "Kazi za kuua za kishujaa kwa Jeshi katika
kupambana Ugaidi " unaoundwa kwa Jeshi chini ya kauli ya ( Kulipenda Afrika)
" kwa vijana waafrika washiriki katika katika matukio ya Udhamini wa
"Nasser kwa Uongozi wa kiafrika " uliotolewa kwa Wizara ya vijana na
michezo ( Ofisi ya vijana waafrika, na Idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia)
chini ya uangalifu wa Dokta Mustafa Madbuly" Waziri mkuu" mnamo
kipindi cha 8 hadi 22 Juni 2019,kwa kushirikiana na Shirikisho la vijana
waafrika.
Na mnamo mkutano Jenerali aliashiria kwamba Jeshi
inahangaika kukaribisha nchi zote za kiafrika na kubadilishana uzoefu na
utamaduni kati yao, akibainisha Changamoto na Vikwazo vinavyokabili bara la
kiafrika miongoni mwao ni Ugaidi usiosimamia barani Afrika tu bali unaelekea
mabara ya Ulimwengu.
Na Jenerali Tawfik alionyesha kwamba Misri mnamo kipindi
kilichopita ilishuhudia matukio kadhaa ya kiugaidi yaliyapambanwa kwa Jeshi na
iliyaongoza ndani ya nchi na nchi ndugu za kiafrika, akiashiria kwamba Uhalisia
wa Ugaidi nichini Misri ulifikia awamu ya hatari wakati wa wanachama wa
makafiri na ugaidi wanafanya kazi zao za uhalifu, zinazotishia Usalama na Amani
ya Nchi, na huongeza hofu ya wananchi, na huathiri na huharibu Uchumi, na
Rasilimali za nchi, na kukwamua mwelekeo wa Maendeleo.
Na Jenerali Tawfik alisisitiza juu ya umuhimu wa Umoja kati
ya Wananchi, Mabara, na Nchi kutokana na Kufikiri, Silaha, Maoni, na
Kubadilishana utamaduni na uzoefu katika kupambana Ugaidi na Mawazo makali,
akionyesha upande mmoja wa njia za kuwafundisha, na kuwaandaa wanachama wa
ugaidi ili kushambulia Jeshi na Polisi, na njia za kutengeneza mabomu na
kulenga mashua, wanajeshi, waraia, na huharibu majengo.
Na Jenerali Tawfik alifafanua kazi za kuua za kishujaa kwa
Jeshi, akionyesha kwamba Jeshi iligundua handaki kadhaa kwa wanachama
wanamgambo, pamoja na kudhibiti idadi kadhaa toka silaha, vifaa, na mavazi
zilizotumiwa na wanamgambo wale katika kazi zao za ugaidi.
Pia Jenerali Tawfik alionyesha ramani ya mashujaa wa Jeshi,
na mashahidi wa nchi, pamoja na kuonyesha tija ya kazi za kuua kwa Jeshi,
mahusiano ya kisiasa ya kiafrika, na baadhi ya ziara za kijeshi kwa nchi za
kiafrika.
Na kutoka upande wake Bibi Dina Fouad "Rais wa Idara
kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia " alisisitiza kwamba Udhamini wa Nasser
kwa Uongozi wa kiafrika ni miongoni mwa mfululizo wa programu na matukio
yanayoandaliwa kwa Wizara ya vijana na michezo kwa Uongozi wa Dokta Ashraf
Sobhy, iliyoanzishwa kwa matukio ya Aswan "Mji mkuu wa vijana waafrika,
kuanzia shughuli za shule ya kiafrika kwa ajili ya kuimarisha mchango wa vijana
waafrika kupitia kutoa njia zote za msaada, kufunza, na kuwawezesha, pamoja na
kuwawezesha katika vyeo vya Kiongozi na kunufaika toka uwezo na mawazo yao, na
hayo ni kulingana na yaliyotangazwa toka Rais wa Jamhuri mnamo matukio ya
mkutano wa vijana wa dunia.
Na alionyesha kwamba Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa
kiafrika unalenga kuhamisha jaribio kale la kimisri la kujenga taasisi za
kitaifa, na kuunda kizazi kipya cha makada waafrika vijana wa kimageuzi wenye
mitazamo inayosawazisha na mielekeo ya Urais wa Misri kwa Umoja wa kiafrika,
yenye Imani ya kuhudumia malengo ya Umoja wa kiafrika kupitia ukamilifu, pamoja
na kuunda mikusanyiko ya makada vijana waafrika wenye athari kubwa barani kwa
kuwafundisha, uzoefu unaohitajika, na mitazamo ya kimikakati, akiashiria kwa
Udhamini ni kipengele kimoja cha vipengele vya uwezeshaji kwa mageuzi ya
kiafrika, vilivyoidhinishwa kwa Ajenda ya Afrika 2063, na kimoja cha kutekleza
mpango wa ( Million by 2021) kwa ajili ya kuwawezesha vijana waafrika milioni
moja kwa kufikia mwaka wa 2021, uliotolewa kwa Kameshina ya Sayansi,
Teknolojia, na Rasilimali za binadamu katika Umoja wa kiafrika.
Na matukio yalikwisha kwa kuonyesha idadi kadhaa ya miradi
mikubwa ya kimaendeleo, iliyofanyikwa kwa Misri katika nchi za kiafrika, pamoja
na kutoa idadi kadhaa ya taarifa zenye lengo kutoka wanafunzi waafrika washiriki
katika matukio ya Udhamini. Na idadi kadhaa ya vifungu vya kisanaa na Folklori
viliyofanyokwa kwa Bendi ya "Koko" kwa uongozi wa Ayman Jastin
"Mhitimu wa awamu ya kwanza toka shule ya kiafrika ".
Na Jenerali Tawfik aliwaheshima familia za Mashahidi
miongoni mwao ni familia ya mshahidi Sabry Muhamed Ahmed, na kuwaheshima
wanafunzi waafrika katika chuo kikuu cha Alazhar, na kubadilishana Utoaji wa
nishani na Jeshi iliwapa zawadi za kumbukumbu kwa washiriki wa matukio.
Na matukio haya yalihudhuriwa na Jenerali Muhamed Ramadan
"Sehemu ya kupanga na kushambulia kwa kienyeji kijeshi", Mkuu Ahmed
Shawky "Msaidizi wa Kiongozi wa Jeshi kwa mikutano ya kiutamaduni ",
Mkuu Ahmed Muhamed "Meneja wa ofisi ya Mkuu wa vikosi", na idadi
kadhaa toka makada wa Jeshi na idadi kadhaa toka makada wa Wizara ya vijana na
michezo miongoni mwao ni Dokta Hossam Abd Elhakim "Msaidizi wa Waziri wa
vijana na michezo kwa sekta ya vijana wachanga", Bibi Dina Fouad
"Rais wa Idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia ", Bibi Nilly Zain"
Mkurugenzi mkuu wa Idara kuu kwa Bunge, wachanga, na vijana" na Bwana
Hassan Ghazali "Naibu wa Rais wa Umoja wa kiafrika, na mratibu mkuu wa
ofisi ya vijana waafrika kwenye Wizara" kwa kushirikiana na familia za
mashahidi wa Jeshi.
Comments