Usimamizi mkuu wa Wachipukizi ni Mtekelezaji wa mradi wa Umoja wa Bonde la Nile , maoni ya Baadaye katika toleo lake la nne chini ya kauli mbiu ya “ Mazungumzo ya Bonde la Nile ”


Katika mfumo wa toleo la nne la mradi wa Umoja wa Nile , Maoni ya Baadaye, Usimamizi mkuu wa Wachipukizi kwenye Wizara ya Vijana na Michezo ya kimisri unatekeleza mpango wa mazungumzo ya Bonde la Nile unaolenga kikundi cha Wachipukizi kwa umri 14 hadi 17 kutoka nchi za Bonde la Nile : Misri , Sudan na Jumhuri ya Sudan Kusini ili Kupanua ufahamu wao kuhusu Utamaduni , thamani ya mazungumzo , mawasiliano na athari yake katika maendeleo na kujenga Amani katika Jamii.


 Mkakati wa Usimamizi mkuu wa Wachipukizi unategemea  malengo ya kimaendeleo kulingana na malengo ya maendeleo kwa Umoja wa Mataifa na mtazamo wa Misri 2030 , Usimamizi unahangaika kuifanikisha kupitia mipango na shughuli mbalimbali , upya ili kuendelea na kukidhi mahitaji ya vijana kulingana na mahitaji na mabadiliko ya  jamii , kwa lengo la maandalizi ya rika ya vijana ina maisha  huru na karimu inawezekana kushiriki kikamilifu katika maisha ya kawaida na baada yake kusaidia kikamilifu katika ujenzi wa nchi yako .



Usimamizi Mkuu huo pia unafanya kazi pamoja na watu , taasisi za serikali na mashirika ya kiraia kwa kuwatunza vijana , Wachipukizi na watu wenye mahitaji maalum ukarabati na maendeleo yao kiroho , kimaadili , kiutamaduni  , kuboresha ujuzi wao na kuongezeka uwezo wao kupitia kufanya kazi ya pamoja kijamii na kijitolea , utunzaji wao wa kisayansi , kimwili , kisaikolojia, kijamii na kuwawezesha kushiriki katika maisha ya kawaida.


 katika muktadha huo Usimamizi Mkuu wa Wachipukizi unataka kwa kuunda roho ya uvumilivu na uaminifu kati ya Wachipukizi , na kina ya maadili ya ushiriki wa kisiasa na maendeleo ya ufahamu wa kiutamaduni licha ya uwekezaji wa nishati yao na kutoa ustadi wao wa Ubunifu.


Na kwa upande mwingine, hutafutia kuenea Shughuli za burudani Kutumia wakati wa ziada,

Kuwawezesha vijana katika soko la Ajira. Usambazaji wa utamaduni wa Kujiajiri, pamoja na upatikanaji wa huduma za vijana, na michezo katika mikoa yote ya Jamhuri .

Comments