Shughuli na Warsha ya kazi mwanzoni mwa siku ya kwanza ya Mpango wa „Mabalozi wa Mazungumzo ya Bonde la Nile“
- 2022-02-20 12:39:19
Alhamisi Mpango wa vyombo vya habari Afromedia ulizindua Shughuli ya kwanza ya programu ya Mabalozi wa Mazungumzo ya Bonde la Nile, iliyopangwa miongoni mwa hatua za Toleo la nne katika mpango wa Umoja wa Bonde la Nile. Maoni ya Baadaye “
Chini ya kauli mbiu” “Misri Yatujumuisha pamoja.
Kwa kushirikiana na Wizara ya Vijana na michezo _Idara kuu ya wachipukizi,
mpango wa mabalozi wa mazungumzo, na umepangwa kufanyika mpaka Tarehe 21 Februari huu, huko Kairo.
Kwa upande wake, Hassan Ghazali, Mkuu wa mpango wa vyombo vya habari Afromedia alitangaza kwamba hatua ya kwanza ya programu ya Mabalozi wa Mazungumzo ya Bonde la Nile, ilijumuisha Mkutano na washiriki kutoka nchi za Nile “Sudan, Misri, na Jamhuri ya Sudan Kusini” Ambayo idadi ya washiriki ifikapo takriban 150 kutoka kwa wachipukizi wenye umri kutoka 14 hadi 17. Ambapo walijulikana na kuwatambulisha kwenye programu huo na vyanzo vyake vya Waandaaji wa programu, Ambayo katika mwanzo wake vyombo vya habari Afromedia,
kisha washiriki waligawanyikwa kwa vikundi vinne vya warsha ya kazi. Shughuli zilifanyika awali kuvunja barafu pamoja na shughuli za kujenga imani na timu kama utangulizi wa warsha na mada zitakazojadiliwa katika siku zijazo za shughuli za Mpango wa Mabalozi wa mazungumzo ya Bonde la Nile, pamoja na sherehe ya ufunguzi wa Mpango wa Mabalozi wa Majadiliano ya Bonde la Nile Alhamisi jioni katika Ukumbi wa Mamlaka ya Uhandisi.
Na hutajwa kuwa Mpango wa Mabalozi wa Majadiliano ya Bonde la Nile utajumuisha mfululizo wa warsha , vikao vya majadiliano, michezo ya elimu na uhamasishaji, na shughuli za kwanza za programu zitazinduliwa, Siku ya Alhamisi, ili washiriki wajulikane pamoja na kuratibu warsha ya kazi inayojumuisha shughuli za kuunda Imani na timu pamoja na sherehe ya ufunguzi.
Comments