“ Vijana na Michezo ” yahitimisha matukio ya toleo la tatu kutoka wiki ya kiarabu yaa kiafrika kwa Kujitolea na Ujasiriamali mjini wa vijana huko Sharm El Sheikh
- 2022-03-04 13:09:38
Wizara ya Vijana na Michezo ikiongozwa na Dokta Ashraf Sobhy ilihitimisha matukio ya toleo la tatu kutoka wiki ya kiarabu ya kiafrika kwa Kujitolea na Ujasiriamali mjini wa vijana huko Sharm El Sheikh , Na hiyo chini ya uangalifu wa Baraza la mawaziri pamoja na kushirikiana na Jumuiya ya Sauti ya Vijana wa Misri kuanzia Februari 24 hadi 28.
Mkutano huo utakuja katika mfumo wa tangazo la Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El Sisi kuwa 2022 ni mwaka wa Jamii ya kiraia pamoja na maoni ya nchi ya kimisri Kuelekea kufikia maendeleo endelevu .
Matukio ya hitimisho yashuhudia kushiriki kutoka Dokta Ashraf Sobhy Waziri wa Vijana na Michezo kupitia video Conference, akisifu mkutano na Taasisi zote zinazoshiriki, pia anawahimiza kwa utekelezaji wa mipango na kushiriki katika shughuli za Wizara .
Sherehe ya mwisho ilikuwa pamoja na kuonesha video ya uthibitishaji kwa matukio ya wiki , baadaye , Hotuba ya Bwana Saad El Nadeem , msimamizi wa ofisi ya maendeleo endelevu katika Wizara ya Vijana na Michezo , Dokta Hazem El Shalaqamy Mkurugenzi mtendaji wa Jumuiya ya Sauti ya Vijana wa Misri , alionyesha mapendekezo ya mkutano kama maandalizi ili kuyaonyesha mbele ya mamlaka husika,pia warsha zilitoa mipango mitatu ya kijamii ya ushirikiano wa watu.
Sherehe hiyo ilishuhudia hadithi ya mafanikio kwa mmoja wa wajitolea ni mjitolea Rody Alaa na Athari kubwa ya Kujitolea , Ikifuatiwa na kifungu cha sanaa na msanii Alyaa El Basosy , Wakati ambapo fursa zimepatikana kwa Jumuiya zinazoshiriki ili kutoa kauli za maoni yao , malengo yao na maoni yao kuhusu mkutano , matukio hayo yalijumuisha kuheshimu mpango bora , Mjitolea bora , Taasisi bora na kuheshimu wahadhiri na waandaaji wa mkutano huo .
Ikumbukwe kuwa Wiki ya kiarabu ya kiafrika kwa Kujitolea na Ujasiriamali inajumuisha taasisi za jamii, vyombo na mipango ya vijana na mashirika madogo kuhusiana na athari za jamii juu ya kiwango cha kitaifa, kiarabu na kiafrika Taasisi Misri heri , jumuiya ya Resala , Taasisi ya Sonaa El Hayah ,Sanduku la kupambana Madawa ya kulevya, moyo mwekundu,hilali nyekundu, jumuiya ya El bar , I ber, Infenty ,Marofashion , Ofisi ya mawasiliano ya vijana, Shirikisho la kiarabu la Kujitolea,Baraza la makabila na familia za Misri, Jumuiya ya nchi za kiarabu,familia kwa ajili ya Misri chuo kikuu cha Helwan, Chuo kikuu cha Misri cha Sayansi na Teknolojia, Baraza la vijana wa Misri, Taasisi ya vijana wa Misri kwa maendeleo 2030 Tuwalea vizuri, Misri kwa Vijana wake, Sauti ya vijana wa Misri, Thinking Academy.
Ikumbukwe kuwa Wiki ya kiarabu ya kiafrika kwa Kujitolea na Ujasiriamali ni mradi ulioanzia mnamo 2017 kama tukio maalum la Misri kwa kuangazia athari ya jamii kwa taasisi na mipango ya vijana , wajitolea na wanaofanya kazi katika sekta ya umma kwa ajili ya kuwaheshima kwa juhudi zao katika jamii, pia kwa ajili ya kuifanya athari hiyo iwe endelevu na wigo mpana ikijumuisha wajitolea wa Afrika na nchi za kiarabu.
Comments