Rais Abd El Fatah El- Sisi azindua Ukumbi wa Hassan Mustafa


Rais Abd El Fatah El-Sisi alishuhudia ufunguzi wa ukumbi uliofunikwa katika mkusanyiko wa majengo ya Hassan Mostafa , kupitia mtandao wa video Conference, Hiyo ilikuwa wakati wa kufungua kwake kwa  idadi ya miradi ya kitaifa katika sekta za makazi na barabara. 


Waziri wa Vijana na Michezo Dokta. Ashraf Sobhy wakati wa hotuba yake alisisitiza kwamba kuna ongezo kubwa  zaidi katika majengo ya kifahari, yanayopatikana katika majengo ya  Hassan Mostafa, pia ni mwelekeo mpya wa kumbi za Michezo kwenye eneo la mita za mraba 30,000 kwa gharama ya Paundi bilioni 1.5. 


Sobhy aliongeza kuwa makao makuu ya Umoja wa Afrika na Shirikisho la Mpira wa Mikono la Misri yameanzishwa katika majengo hayo ya michezo, yaliyohakikisha 30%  ya maandalizi ya bingwa wa michezo. 


Rais Abd El-Fatah El-Sisi amezindua leo, Jumatano, idadi ya miradi ya kitaifa, miongoni mwao ni mradi wa "Sakkan Misr" wa makazi ya kijamii, na mradi wa "Gana" wa makazi ya katikati. 

Comments