Rais Elsisi yupo katika matembezi kwa uwanja wa Kairo kwa mahudhurio ya Waziri mkuu na Waziri wa vijana na michezo

Rais Mheshemiwa Abd Elfatah Elsisi alifanya matembezi ya kutafutia Uwanja wa Kairo ili kufuatilia maandalizi ya mwisho kwa kuzanzisha michuano ya kombe la mataifa ya kiafrika mnamo siku ya 21 Juni huu, na hayo yalitokea kwa mahudhurio ya Waziri mkuu na Waziri wa vijana na michezo.

 

Na Balozi Bassam Rady" Msemaji rasmi kwa Urais" alieleza kwamba ziara ile ililenga kuangalia maandalizi yote yanayohusu uwanja wa Kairo, utakaoshuhuduia matukio ya sherehe ya ufunguzi na mwisho wa kombe la mataifa ya kiafrika, akiongeza na kukaribisha kwake kwa idadi kadhaa ya mechi mnamo michuano.

 

Na Mheshemiwa Rais alitafutia shughuli za maendeleo na kuongeza ufanisi zilizofanyikwa katika uwanja wa Kairo ambapo yalijumuisha pande zake zote miongoni mwao majengo na maandalizi uwanjani, pamoja na huduma na njia zinazozunguka.

 

Na Msemaji rasmi alifafanua kwamba Mheshemiwa Rais alizisifu juhudi zinazotolewa mnamo kipindi kilichopita kutokana na taasisi ya kazi inayohusika na taasisi zinazohusisha kwa kuboresha  mahali pa kimichezo na viwanja vinavyopokea michuano ya mataifa ya kiafrika, akiwaita kwa kuendelea katika juhudi kubwa zile ili kudhamini mafanikio ya michuano kwa upande wa utaratibu na upande wa utazamaji, jambo linaloakisi sura nzuri ya kiustarabu kwa Misri, na uwezo wake wa kuandaa na kukaribisha michuano mikubwa zaidi ya kimichezo barani na duniani.

 

Pia Mheshemiwa Rais alieleza Imani yake kubwa kwamba michuano itawakilisha nguvu chanya kwa michezo ya kimisri kwa ujumla kulingana na maendeleo na upya uliojumuisha Miundombinu ya kimichezo kwenye mikoa kadhaa ya Jamhuri kulingana na vipimo vipya zaidi vya kimataifa.

Comments