Waziri wa Vijana na Michezo Dkt. Ashraf Sobhy alielezea furaha yake ya kukaribisha Misri kwa michuano ya kombe la michezo ya Sarakasi ya kiufundi kwa wanaume na wanawake, inayofikisha michezo ya kimataifa ya Olimpiki ya Paris 2024, akiwasifu viongozi wa Shirikisho la Misri kwa mchezo huo ikiongozwa na Dkt. Ehab Amir na juhudi zao kubwa mnamo kipindi cha hivi karibuni, hicho ndicho kilichooneshwa katika Kukaribisha Misri kwa michuano mikubwa ya kimataifa nchini Misri.
Na Waziri huyo alisema kuwa Misri iko chini ya utawala wa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El-Sisi; iko tayari kukaribisha matukio makubwa yote ya michezo, baada ya miundombinu ya majengo ya michezo ikawa katika kiwango bora zaidi; kwa mujibu wa matakwa na viwango vya Mashirikisho yote ya kimataifa.
Jumatano, Shirikisho la Sarakasi lilifanya mkutano wa waandishi wa habari, katika hoteli moja huko Kairo; ili kutangaza maelezo ya michuano ya kombe la Sarakasi huko Kairo 2022, miongoni mwa mfululizo wa michuano ya kimataifa ya kufikisha Olimpiki ya Paris 2024 kwa ushiriki wa washiriki 281 wakiwakilisha nchi 34 zinazoongozwa kwa Ukraine licha ya hali yake ya sasa, Nchi hizo kama ifuatayo: Misri kama nchi mwenyeji, Albania, Algeria,Armenia,Australia
Austria,Azerbijan, Jamhuri ya Czesh, New Zealand,Ireland,Canda, Croatia, Kileo, Ufini, Ugiriki,Hong Kong, Hungray, Iceland, Italia, Jordan, Kazakhastan, Lithuania, Malaysia,Morocco, Norway, Potland, Afrika Kusini, Slovenia,Uturuki, Marekani Uzebekstan, India, Qatar.
Comments