"Vijana na Michezo" huandaa semina yenye kichwa cha "Jukumu la vyombo vya habari vya kimichezo katika kuelimisha mashabiki kabla na wakati wa michuano ya Mataifa ya kiafrika"

Wizara ya Vijana na Michezo iliyoongozwa na Dokta . Ashraf Sobhy , itafanyika Semina yenye kichwa cha  "Jukumu la vyombo vya habari vya kimichezo katika kuelimisha mashabiki kabla na wakati wa michuano ya Mataifa ya kiafrika" kulingana na maelekezo ya uongozi wa kisiasa  kwa ulazimu wa kufanya kazi kwa ajili ya  mafanikio ya Kombe la mataifa ya kiafrika N. 32 ambayo itashuhudia ushiriki wa timu 24 za kiafrika kwa mara ya kwanza.

semina itafanyika Jumanne ijayo, Juni 18 saa 8 mchana  katika Kituo cha Elimu ya Kiraia, pamoja na ushiriki wa kundi la wataalamu wakubwa wa habari , waandishi wa habari, wataalam na kundi la (Vijana huendesha Vijana).

semina inalenga kueneza roho ya uzalendo, utunzaji wa mali na mashabiki kwa tabia za kitamaduni na uhamasishaji bora wakati wa mechi, na kusisitiza juu ya  jukumu la vyombo vya habari vya kimichezo, kama kusomwa, kusikilizwa au kuonyeshwa , katika kuibuka kwa Misri na kuonekana kwa ustawi wakati wa mashindano na kufuata sheria na viwango vya Kanuni ya Heshima ya kihabari,Pamoja na msisitizo juu ya jukumu la mashabiki katika mafanikio ya michuano ya Mataifa ya kuafrika na uwepo mkubwa wa mashabiki katika mechi

Comments