Mnamo matukio ya siku ya kumi : "Nafasi za Uwekezaji barani Afrika " zinajadiliwa kwenye Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa kiafrika "
- 2019-06-19 11:08:08
Mhandisi Amany Khodeir "Rais wa chombo cha kufuatilia miradi ya Afrika katika Kampuni ya Elmoqawloon Elarab" alifafanua uzingatiaji wa nchi ya kimisri kwa Uongozi wa Rais Abd Elfatah Elsisi kwa Uwekezaji kupitia kuunda miradi kadhaa ya kimaendeleo barani Afrika, nao ni kama miradi inayohusu Njia, ujenzi, na nyingine kutoka miradi ya kimaendeleo, akisisitiza juu ya mchango mkuu wa Misri kwa kuendeleza mahusiano pamoja na nchi za kiafrika katika nyanja zote.
Na hayo yalitokea mnamo mkutano unaohusu "Nafasi za Uwekezaji barani Afrika " miongoni mwa matukio ya siku ya kumi toka Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa kiafrika " uliotolewa kwa Wizara ya vijana na michezo(Ofisi ya vijana waafrika, na Idara kuu kwa Bunge na Elimu ya kiraia) chini ya Uangalifu wa Dokta Mustafa Madbuly "Waziri mkuu", mnamo kipindi cha 8 hadi 22 Juni 2019, kwa kushirikiana na Shirikisho la vijana waafrika.
Na Khodeir alisisitizia juu ya umuhimu wa kuhamasisha Uwekezaji, kushinda Changamoto za maendeleo katika nchi za kiafrika, na kuimarisha nafasi za ukamilifu kati yao, akiashiria kwa shime ya serikali ya kimisri kwa kuboresha, na kuunda Miundombinu, na kuendeleza vyanzo kwa ajili ya kuwepo nafasi za Uwekezaji katika nyanja zote pamoja na nchi nyingine, na kufanya zaidi ili kuhakikisha Ajenda ya Umoja wa kiafrika 2063,na kuzidisha mchango wa mihimili ya kiuchumi katika nyanja za maendeleo ya kiafrika, na Khodeir aliashiria kwa umuhimu wa kuwasiliana pamoja na nchi za Afrika na kuunganisha mahusiano pamoja na suala la kiafrika na uwanja wa Miundombinu sawa ikiwa inahusiana na huduma za kiafya, au kielimu, na akionyesha miradi mikubwa ya kitaifa muhimu zaidi iliyofanyikwa kwa Elmoqawloon Elarab kupitia idadi kadhaa za ushirikiano zinazojumuisha Utengenezaji wa mabarabara, kuunda madaraja, na majengo ya kielimu ya kiafya kwenye nchi za kiafrika.
Comments