Kufikia washiriki wa toleo la tatu la Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa

Wizara ya Vijana na Michezo ilitangaza kuanza kwa Ujio mkubwa wa washiriki wa Udhamini wa Kiongozi wa Kimataifa hayati Gamal Abdel Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa - kundi la tatu, ambao umeandaliwa pamoja na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El-Sisi, Rais wa Jamhuri, kwa kushirikisha viongozi vijana 150 kutoka nchi zisizofungamana kwa upande wowote na nchi rafiki, unaopangwa kufanyika mnamo kipindi cha kuanzia Mei 31 hadi Juni 17,2022 mjini Kairo, kwa kauli mbiu ya " Vijana wa Kutofungamana kwa upande wowote na Ushirikiano wa Kusini-Kusini".

 Kwa upande wake, Mratibu Mkuu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la tatu, Bw.Hassan Ghazali, alidokeza kuwa washiriki walianza kufikia makao makuu ya kundi la tatu la Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa huko " the Engineering Authority House mjini Kairo" , ambapo washiriki kutoka nchi zifuatazo: " Algeria, Morocco, Libya, Palestina, Tunisia Uturuki, India, Brazil na Pakistani" zilipokelewa, ambapo bado  kuwapokea washiriki 150  katika mpango huo kutoka nchi zisizofungamana ka upande wowote na nchi rafiki.

Kwa upande wake, Mratibu Mkuu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la tatu,Bw. Hassan Ghazali, alieleza kuwa Udhamini huo , katika toleo lake la tatu, unakuja kwa kushirikisha viongozi wa vijana wanaoziwakilisha nchi takriban 73 Duniani, pamoja na ujumbe wa Misri, unaowakilisha makundi mengi ya kijamii yaliyolengwa na Udhamini mwaka huu kutoka Miongoni mwao, matawi ya kitaifa ya kundi la Vijana wa Harakati Zisizofungamana na Siasa, wakuu wa Mabaraza ya Vijana ya Kitaifa, wanachama wa watafiti wa mabaraza ya mitaa katika mikakati. vituo vya utafiti na mawazo, pamoja na wanachama wa mashirika ya kitaaluma, pamoja na wataalamu wa vyombo vya habari, waandishi wa habari na wajasiriamali wa kijamii, pia wako pamoja na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El-Sisi kwa mara ya pili mfululizo.

Comments