Upangaji na Maendeleo pamoja na Mpango wa Maisha Bora ziko ndani ya jedwali ya majadiliano ya Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la tatu
- 2022-06-23 12:23:07
Wizara ya Vijana na Michezo ilizindua shughuli za siku ya saba ya kundi la tatu la Udhamini wa Kiongozi Hayati Gamal Abdel Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa linaloandaliwa pamoja na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri " Abdel Fattah El Sisi" kwa kikao cha mazungumzo kwa anwani ya" Upangaji na Maendeleo" kwa ushiriki wa Naibu wa Waziri wa Upangaji na Maendeleo ya kiuchumi " Dkt, "Ahmed Kamali", Mwakilishi wa Taasisi ya Red Cross ya kijerumani Bw." Hussien Khader" na Mkuu wa sekta ya uhandisi katika Taasisi ya Maisha Bora "Mohamed Siddik" na hicho kiliongozwa na Mratibu mkuu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa " Bw.Hassan Ghazaly" .
Naibu wa Waziri wa Upangaji na Maendeleo ya kiuchumi Dkt, Ahmed Kamali, katika hotuba yake alizungumzia Maoni ya Misri ya 2030 yaliyozinduliwa kwa Misri mnamo 2016, yanayozingatia nyanja za kiuchumi, kijamii na mazingira kutoka nyanja za maendeleo endelevu na malengo yaliyomo ndani yake, akifafanua tofauti kati ya ukuaji wa uchumi na maendeleo na iwapo maendeleo yako katika jamii ya mijini tu, hiyo inamaanisha kuwa maendeleo ya kikamilifu hayakuhakikisha yanayojumuisha makundi na maeneo yote; kwa hivyo uongozi wa kisiasa ulitanabahi maudhui hiyo na kuweka miongoni mwa Maoni ya Misri ya 2030 kuwa na maendeleo halisi katika nchi ya Misri yanayojumuisha makundi na maeneo yote nchini Misri, Na Kamali aliashiria kuwa mnamo kipindi cha miezi miwili Maoni ya Misri ya 2030 yaliyoboreshwa yatazinduliwa ambazo changamoto zingine zimeibuka ambazo zinahitaji kuongeza kazi,pamoja na kushughulia ndani ya mfumo wa Maendeleo Endelevu na Maoni ya Misri 2030.
Mkuu wa sekta ya uhandisi katika Taasisi ya Maisha Bora " Mohamed Siddik" kwa upande wake, alitoa Shukrani kwa Wizara ya Vijana na Michezo, ikiongozwa na Dkt, Ashraf Sobhy kuhusu mwaliko wake katika kikao hicho muhimu miongoni mwa shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la tatu, akisifu uzoefu wa vijana ambao una msimamo muhimu na mwenye ushawishi katika kutengeneza mustakabali wa Misri katika miaka ijayo kwa kuzingatia ujali wa nchi ya Misri katika kuwawezesha vijana wa Misri katika hali halisi siyo neno tu kwa matumizi ya ndani bali ni uhalisi wa kweli uliohakikishwa mnamo miaka iliyopita kwa uungaji mkono wa uongozi wa kisiasa wa Misri na Seddik alionyesha mwanzo ya wazo la mpango wa taifa " Maisha Bora" ulioanza kama mpango kwa pendekezo la vijana wa mpango wa Urais ulijumuisha takriban vijiji 375 kwa kulenga kiwango cha umasikini mgumu kisha wazo la mpango huo lilitoa kwa Rais wa Jamhuri Abd El Fatah El Sisi, kisha liliendelea kwa onyesho lake katika mkutano wa vijana na walimwomba Rais kubadilisha mpango kwa mradi wa taifa; ili taasisi zote za nchi na sekta za umma na binafsi ziushiriki katika muktadha wa kuunganisha juhudi; ili kuwa na nafasi nzuri katika nyanja zote na lazima pande zote zitekeleze jukumu lao na kujua athari za mpango huo zitakuwa zikionekana ambazo mwananchi wa Misri anaziona, Na Rais alizindua mpango wa Maisha Bora kisha kuanzisha taasisi ya Maisha Bora kama Taasisi ya Heri ya Mshikamano wa kijamii na kufuata mradi wa taifa kwa jukumu lake la kuwepo katika kamati ya kuwezesha kufuatilia mradi wa taifa na inalenga kufika 58% kutoka jamii na pande zake zinaambatana na malengo ya maendeleo endelevu; kupatikana manufaa ya juu kwa raia walengwa .
Mwakilishi wa Taasisi ya Red Cross ya kijerumani " Hussien Khader" alitoa Shukrani ya mwaliko wake katika kikao hicho cha pekee kwa Wizara ya Vijana na Michezo katika taarifa yake katika kikao cha ufunguzi cha shughuli za Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la tatu, akisifu wazo la pekee la mpango wa Maisha Bora linaloweza kupitia kwake kupambana wazo la uhamiaji wa kisheria na msimamo mkali, akiashiria kuwa tunakuta kuwa uhamiaji haramu kwa mujibu wa takwimu za Umoja wa Mataifa umefika idadi kubwa Duniani kote, na aliongeza kuwa kuna uhusiano usio kawaida kuwa sababu ya uhamiaji haramu na uhamisho ni kwa sababu ya vita; lakini kuna sababu nyingi tofauti miongoni mwake ni umaskini, ujinga, kutokuwepo kwa jukumu la nchi kwa mdhamini wa jamii, ambapo jukumu la nchi kama mdhamini wa jamii ni jukumu muhimu ni linatakiwa jamii ambazo zina idadi kubwa ya uhamiaji haramu.
Mratibu mkuu wa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa Bw.Hassan Ghazaly aliongeza katika kikao cha ufunguzi kutoka shughuli za siku ya saba kwa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la tatu kuwa Misri ilihakikisha maendeleo ya jumla halisi katika enzi la Kiongozi Hayati Gamal Abdel Nasser ambayo yanafika misingi ya umma hata baada ya kushindwa mnamo mwaka wa 1967 na hii ni dalili ya mpango mzuri, akiashiria kuwa kuelekea mpango wa Maisha Bora kulihusisha na dhana zile zilizowekwa kwa nchi katika enzi la Kiongozi Hayati Gamal Abdel Nasser , na kuzungumzia kuwawezesha vijana tunakuta kuwa Rais Gamal Abdel Nasser alitawala madaraka akiwa na umri wa miaka 34.
Na Ghazali aliongeza kuhusu wazo la kuwawezesha vijana kuwa jambo halihusishi na kuwa kijana ili kuwawezesha lakini hata kutimiza uwezo lazima kuwa kijana mwerevu ili kustahili uwezo huu na kuhakikisha malengo maksudi, akisisitiza kuwa haki za binadamu siyo tu haki za kisiasa lakini pia kuna haki muhimu ambazo ni haki za kiuchumi na kijamii lakini hakijaliwi kwa kutosha bali kujali haki za kisiasa zaidi kuliko hizo.
Ikumbukwe kuwa Udhamini wa Nasser kwa Uongozi wa Kimataifa katika toleo lake la tatu, uko na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El Sisi kwa mara ya pili mfululizo kwa ushiriki wa viongozi vijana wanaowakilisha vikundi vya jamii nyingi vilivyolengwa kwa Udhamini mnamo mwaka huu, miongoni mwao ni matawi ya mtandao wa vijana wasiofungamana kwa upande wowote wa kitaifa, wenyeviti wa mabaraza ya vijana ya kitaifa, wajumbe wa mabaraza ya watafiti ya kienyeji katika vyuo vya utafiti vya kimkakati na mawazo pamoja na wanachama wa vyama vya kazi; vile vile vyombo vya habari, waandishi wa habari na wajasiriamali wa kijamii
Comments