Waziri wa Vijana, Mwakilishi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa kwa watu na ujumbe wa Taasisi ya Zayed ya watu wenye ulemavu watembea sehemu za maonesho, burudani na eneo la kijani



Dkt. Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo, Bwana  Fredika Maiyer, Mwakilishi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa ya watu huku Misri na ujumbe wa Taasisi ya Zayd ya watu wenye ulemavu wametembelea sehemu za maonesho, burudani na eneo la kijani, pembezoni mwa shughuli za Kongamano la Vijana katika toleo lake la 17 kwa mkataba wa mfumo wa Umoja wa Mataifa kwa kubadilisha hali ya hewa COP27, ambalo linafanyika mjini mwa Sharm-Alshekh mnamo kipindi kutoka (2-4) Novemba hii katika mji wa vijana.


Waziri wa Vijana na Michezo alitazama onesho la Timu ya klabu ya Karne ya kituo cha vijana wa Sharm-Alshekh katika mkoa wa Sinai Kusini , kupitia kutekeleza  programu inayojumuisha hifadhi za asili  na maendeleo endelevu huku Misri,kwa kuhakikisha kwa kutumia aina za nishati mbadala katika hifadhi za asili ili kupunguza uzalishaji wa madhara kusababisha  mabadiliko ya hali ya hewa.

Kongamano wa vijana kwa mkataba wa mfumo wa Umoja wa Mataifa kwa kubadilisha hali ya hewa.


 COY17 ni tukio kubwa na muhimu zaidi ya vijana linachangia katika kujenga  mawazo na kuzuia kwa sera ili kuwaandaa vijana kushiriki katika kongamano la hali ya hewa lijalo,ambapo linajumuisha maelfu ya wanaofanya mabadiliko kutoka zaidi ya 140 nchi, hilo mkusanyiko muhimu zaidi kwani lina uwezo kwa kuelekea msimamo rasmi wa vijana moja kwa moja katika majadiliano ya Umoja wa mataifa kuhusu hali ya hewa, Moja ya matokeo muhimu kwa COY17 ni hati ya sera ya kitaifa iliyoundwa na sauti za vijana kutoka nchi zote Dunia ambao utazingatiawa kupitia majadiliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya hewa. 


Inatajwa kwamba Kongamano la vijana la hali ya hewa linalofanyika pamoja na Usimamizi wa Wizara mbili Vijana na Michezo na Mazingira,na pia pamoja na Usimamizi wa idara rasmi ya vijana kwa mkataba wa mfumo  wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa,kwa kuunga mkono kutoka Umoja wa Mataifa nchini Misri na idadi za ofisi za zinazohusiana, kama Ofisi ya UNICEF,  Mfuko wa Umoja wa Mataifa kwa watu,mpango wa maendeleo ya Umoja wa Mataifa, Shirika la Afya Duniani, Ofisi ya UNESCO ,licha ya Shirika la Kimataifa la Uhamiaji,Ofisi ya Umoja wa Mataifa kwa Kujitolea, Ofisi ya Mkataba ya ulimwenguni ya Umoja wa Mataifa katika ushirikiano wa Misri na kwa kushiriki mashirika matano ya vijana ya Misiri ( you think green -  Acts - Environics - Al- Emam- Vijana wanapenda Misri)

Comments