Waziri wa Vijana na Michezo ashuhudia kikao cha"Vijana na Hali ya Hewa" katika banda la UNICEF
- 2022-11-12 20:57:07
Dkt.Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo alishuhudia kikao cha " Vijana na Hali ya Hewa" katika banda la UNICEF ndani ya Ukanda wa bluu, kwa mahudhurio ya Bw.Germy Hupikniz, Mwakilishi wa Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa nchini Misri "UNICEF", Bi.Fridrika Mayir, Mwakilishi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Idadi za watu huko Misri, ndani ya shughuli za kikao cha 27 kwa Kongamano la pande kadhaa za Mkataba wa Mfumo wa Umoja wa Mataifa kwa mabadiliko ya Hali ya Hewa COP27.
Kikao kilichoandaliwa na Ahmad Dash, Balozi wa Mpango ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa nchini Misri "Vijana wa Nchi"na Balozi wa mpango "Vijana wa Nchi", kilikuwa na ushirikiano wa vijana ili kutafutia masuluhisho ya mabadiliko ya Hali ya Hewa, kilifuatiliwa onyesho la filamu fupi kuhusu safari ya msafara ilizunduliwa na Wizara ya Vijana na Michezo kwa ushirikiano wa Shirika la UNICEF, katika mikoa ya Jamhuri ili kuelimisha vijana na watoto kuhusu suala ya mabadiliko ya Hali ya Hewa.
Waziri wa Vijana na Michezo alisema "Misri inafanya juhudi kubwa na endelevu ili kuelimisha vijana shuleni kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa, ndani ya vituo ya Vijana na kilabu ya Michezo, Wizara ya Vijana na Michezo inafanya juu chini na kuendelea kuhakikisha kupatia vijana wa kwanza shuleni Elimu na ufahamu kwa Mabadiliko ya Hali ya Hewa shuleni, kupitia kutekeleza mipango kadhaa shuleni kupitia kupeleka wanaojitolea shuleni ili kuelimisha vijana hao kwa masuala ya Hali ya Hewa".
Sobhy alionesha kuwa ndani ya mipango iliyotekelezwa na Wizara ya Vijana na Michezo, ni kuzindua safari ya Vijana na Michezo, kwa ushirikiano na Shirika la UNICEF,ambapo msafara huo ulitembelea katika mikoa yote ya Misri, ambapo waliojitolea wa msafara walisema kwa vijana katika kila mkoa kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa na athari zake na je,ni uwezekano na masuluhisho ambayo yatawatekeleza katika jamii yao ili kusaidia jamii kuzoea na mabadiliko na kupunguza athari zake.
Dky. Ashraf Sobhy aliongeza kuwa ndani ya taratibu hizo, Wizara ya Vijana na Michezo kutekeleza au maombi ya vyombo vya usafiri wa rafiki ya mazingira katika vituo vya vijana na kuelimisha kwa faida zinazotumia, daima kuwahimiza vijana ili kucheza michezo haswa mchezo wa kutembea sana na matumizi ya baiskeli na pikipiki zinaendeshwa na nishati ya jua ili kusafiri badala ya vyombo vya usafiri binafsi,ili kupunguza chimbuko kinachosababisha, Wizara pia inazizindua programu ili kuongeza uelewa kuhusu afya na usawa wa mwili.
Waziri huyo alielezea kuwa Wizara inawawahimiza vijana kushiriki katika mashindano ya Hali ya Hewa na shughuli za Hali ya Hewa, ili kukuza hatua Hali ya Hewa, na kuwavutia vijana na wabunifu,kupeleka ili kuwasaida kuboresha mawazo yao, akiashiria kuunga mkono kwa Wizara na kupatia mawazo ya kibunifu yaliyowasilishwa na vijana, bila kujali kwa utaalamu wao,kiwango chao cha elimu na umri wao.
Waziri huyo alitangaza uundaji timu ya vijana kwa uratibu na UNICEF ili kuweka sera zinazokabiliana na Mabadiliko ya Hali ya Hewa kupitia siku zijazo.
Kwa upande wake, Germy Hobkinz, Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa wa Watoto nchini Misri alisisitiza kwamba Shirika hilo linaunga mkono serikali ya Misri ili kuuza ushirikiano wa kiutendaji wa watoto na vijana pia katika mchakato wa kukuza michango iliyoamuliwa kitaifa kupitia kuendelea ushirikiano wa watoto na vijana katika jamii za mbali na zisizo na uwezo.
"Hobkinz" aliashiria ushirikiano wa UNICEF na Wizara ya Vijana na Michezo kupitia msafara wa vijana na hali ya hewa ili kuelimisha vijana mikoani mwa Jamhuri na kufikia masuluhisho ya kibunifu yanayoongozwa na vijana kwa uratibu wa karibu na mabunge ya vijana, Kongamano la vijana la ndani LCOY na Kongamano la Vijana COY17.
Meja Jenerali Esmail Alfar, Mkuu wa sekta ya vijana katika Wizara ya Vijana na Michezo, Dokta Abd Alah Al batish, Msaidizi wa Waziri wa sera na maendeleo ya watu, Azaa Aldri, Mkuu wa Idara kuu ya maendeleo ya vijana, Mustafa Magdi, Naibu Waziri wa sera na maendeleo ya vijana, Iman Uthman, Meneja mkuu wa Idara kuu ya wabunifu na wenye vipaji, Gihan Hanafi,Meneja mkuu wa Idara kuu ya programu za Skauti na kujitolea, Dokta Isam Siraj Al din, Mkuu wa kitengo cha Uchumi katika Wizara ya Vijana na Michezo, Mustafa Az Al Arab, Mratibu wa Hali ya Hewa katika Wizara ya Vijana na Michezo, na idadi ya Wanaharakati wa UNICEF kwa Mabadiliko ya Hali ya Hewa" Shahd Ali, Amal AbdAlah Hisin, Shirif Al Rifai" walihudhuria shughuli hizo.
Comments