Timu ya kimataifa ya silaha inafundisha washindani kwa video katika kambi lake ili kujiandaa kwa michuano ya kiafrika.
- 2019-06-19 14:28:07
Chini ya
kauli ya uzito, nidhamu na kujitolea,
timu ya kitaifa ya Misri kwa silaha inaandaa kwa michuano ya kiafrika katika
kambi ya mafunzo yake , inayofungwa na inayofanyika katika Kituo cha Olimpiki
huko Maadi sasa hivi .
kambi la mafunzo linajumuisha wachezaji wakiume na wakike 36 katika silaha
tatu upanga , shish na kitara chini ya uongozi wa kocha Maher Hamza.
Abdel Moneim
Husseini Mkurugenzi wa shirikisho la
Silaha alitembelea kambi Zaidi ya mara moja ili kuwatumaini wachezaji na kwa
kuwahamasisha wachezaji kuwa taji ya Kiafrika, hasa kama michuano hiyo ni moja
ya hatua kwa kufuzu kwa Olimpiki za Tokyo 2020 kwa kimoja na kitimu.
Mwishoni mwa
kambi, Maher Hamza atachagua wachezaji
wakiume na wakike 24 wa kusafiri kwa nchi ya Mali itakayopokea michuano ili kushiriki katika ushindani
Pamoja na wachezaji nane kwa sawa sawa kwa kila silaha kutoka silaha tatu.
ujumbe
unajumisha Rais wa Shirikisho Abdel Moneim Al Husseini kama Mwenyekiti, na Mjumbe wa Bodi Ayman Munir, Mkurugenzi wa
Ufundi Maher Hamza, Mkurugenzi Mtendaji Dokta Ayman Ghneim na kocha wawili EL-Saif Sharif Al Bakri, Jamal Abdul Latif na
mvita Eslam Gamal,Elsayed Samy na mvita
Mahmoud Mansour na daktari wa timu na daktari wa mazoezi ya mwili Dokta Mohammad Shishtawi, mtaalamu wa kukandwa na
daktari wa wanawake .
Kambi ya
mafunzo ya kufungwa ina mafunzo ya kila siku kwa vipindi viwili asubuhi na
jioni kimwili na kiufundi.
Mkurugenzi
wa kiufundi Maher Hamza pia alifanya mafunzo ya kiufundi kwa wachezaji kwa
kuelezea pointi za nguvu na udhaifu wa washindani na pia timu inakabiliwa na
ukarabati wa kisaikolojia na utekelezaji wa mpango maalum wa chakula wakati wa
kambi.
Comments