Banda la Msafara wa Vijana na Tabianchi Katika eneo la kijani lapokea Msafiri Ali Abdo
- 2022-11-23 20:25:05
Banda la msafara wa vijana na tabianchi katika eneo la maonyesho ya nje huko eneo la kijani, limempokea Msafiri Ali Abdo ndiye akiendesha baiskeli yake ya umeme, baada ya safari iliyoendelea siku 30, ambapo ameianza kutoka kwa Abu Simbel mjini Aswan kufikia jiji la Sharm El_ Sheikh, kupitia baiskeli ya umeme ndani ya mfumo wa mpango" Safari ya Mkutano wa Tabianchi" kwa ufahamu zaidi kwa mabadiliko ya tabianchi, ambaye amevunja rekodi ya kwanza katika safari yake"Safari Ndefu Zaidi ya Baiskeli Ndani ya Nchi Moja", ikirekudiwa katika Elezo kuu la Guinness.
Msafiri Ali Abdo Carfan ameangalia msafara wa vijana na tabianchi, amepokea maelezo ya kina kuhusu safari iiliyofanywa na msafara ndani ya mikoa ya Jamhuri ili kufahamisha kwa mabadiliko ya tabianchi hadi eneo la kijani katika mkutano wa tabianchi, msafara wa vijana na tabianchi ni mojawapo muhimu ya mipango ambayo imezinduliwa na wizara ya vijana na mchezo pamoja na " UNICEF" Ili kufahamisha kwa mabadiliko ya tabianchi, maendeleo ya elimu ya mazingira na hatua ya tabianchi kwa vizazi wajao.
Ali Abdo amezungumza na vijana wanaojitolea wakishiriki katika msafara kutoka mpango SRS, pia washiriki kutoka "UNICEF" Kwa Uwepo wa Bwana Jeremy Hopkins Ambaye ni Mwakilishi wa " UNICEF" nchini Misri, akisifu mpango wa Wizara ya Vijana na Michezo kwa ufahamu wa hatari za mabadiliko ya tabianchi katika mikoa mbalimbali kufikia vijiji mbali zaidi na maeneo ya mipaka.
Msafara uliotekelezwa na Wizara kupitia idara kuu ya maendeleo ya wachipukizi kwa ushirikiano na "UNICEF" umejumuisha shughuli kadhaa za maingiliano zinajumuisha warsha za kujenga uwezo, mazungumzo ya vijana, mashindano, video za elimu, kambi za mafunzo na kampeni za uelimishaji kuhusu mabadiliko ya tabianchi miongoni mwa mfumo mzuri wa kuwawezesha wachipukizi na vijana pamoja na kutekeleza mchango wao mzuri ndani ya juhudi za kimataifa za kukabiliana mabadiliko ya tabianchi.
Comments