Dkt. Ashraf Sobhy, Waziri wa Vijana na Michezo katika Diwani kuu ya Wizara alianzisha mkutano pamoja viongozi vya Wizara ya Vijana na Michezo na kampuni inayotekeleza Marathon Zayed ; Kutafutia maandalizi yote na utaratibu yanayohusiana Marathon ambayo shughuli zake ziliandaliwa pamoja na Ufadhili wa Mheshimiwa Rais Abd El Fatah El Sisi.
Mkutano huo ulikuwa pamoja na Marathon Zayed Charitable, unaopangwa kuandaliwa mnamo robo ya mwisho ya Desemba ijayo ,kwa mujibu wa athari zake chanya ndani ya nyanja mbalimbali za mchezo na jamii ya binadamu , pamoja na kujadili vifaa vyote na mambo ya idara na vyombo vya habari ambayo yanalenga kutokea Marathon kwa naman inayolingana na taifa la Misri.
Waziri huyo aliashiria kwamba kuandaaliwa kwa Marathon Zayed Charitable mara kwa mara nchini Misri kunakuza kina , nguvu na uhusiano kari ya Misri na ndugu ya UAE, hiyo ndiyo inaonyesha umuhimu wa ushirikiano katika sekta ya Vijana na Michezo na kuunda nafasi mpya za uwekezaji kati ya nchi hizo mbili.
Uzinduzi na hitimisho za Marathon zitakuwa mbele ya Uwanja mkale wa Michezo wa Alexanderia, ni kongwe zaidi nchini Misri na bara la Afrika na inajumuisha makundi na hatua kadhaa:
Kwanza Kwa umbali wa kilomita mbili, ambayo imetengwa kwa watu wenye ulemavu na watoto wa umri chini ya 10 miaka na wazee wana zaidi ya miaka 60, kisha mbio kuu za umbali 10 km kwa wanaume, wanawake, na wataalamu na mapato ya mbio za Marathon yametengwa katika toleo la sasa kusaidia Hospitali ya Ahl Masr kwa Waathirika wa ajali na moto.
Ikumbukwe kwamba Mheshimiwa Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan، Rais wa Nchi alizundua wazo la tukio la hisani la michezo na aliweka malengo yake na ikawa alama isiyoweza kufa na maoni wazi za maana ya Kheri ,upendo na zabuni daima
Comments